Lyrics Hawajui - Vanessa Mdee
Hamjui
tu
nyie,
alichonifunza
Mama
na
na
ndiyo
maana
hamuishi
kutukana
x2
Kila
kitu
majaliwa
kupata
nimebarikiwaga
Nini
tilalila
usiku
mchana
unabwabwaja
Kwako
mi
mpira
unanicheza
unavyotaka
Kila
siku
beki
leo
kipa
nimekudaka
We
mwanadamu
gani
uliyekosa
aibu
Huenda
kuna
kosa
nieleze
kilichokusibu
Huishi
Zogoa
Zogoa
Kila
Siku
Zogoa
Zogoa
Ukilala
Zogoa
Zogoa
Hamjui
tu
nyie,
alichonifunza
Mama
na
na
ndiyo
maana
hamuishi
kutukana
x2
Choko
choko
ndiyo
mambo
mliozoea
Kuweka
vigenge
na
makundi
mkiniongelea
ah
ah
Eti
naringa,
nikishinda
mnavimba,
hamuishi
kuniwinda
Mungu
ndiyo
ananilinda
We
mwanadamu
gani
uliyekosa
aibu
kunisema
kwa
ubaya
na
ukiapa
kwa
Mungu
Huishi
Zogoa
Zogoa
Kila
Siku
Zogoa
Zogoa
Ukilala
Zogoa
Zogoa
Hamjui
tu
nyie,
alichonifunza
Mama
na
na
ndiyo
maana
hamuishi
kutukana
x2
We
mwanadamu
gani
uliyekosa
aibu
Huenda
kuna
kosa
nieleze
kilichokusibu
Huishi
Zogoa
Zogoa
Kila
Siku
Zogoa
Zogoa
Ukilala
Zogoa
Zogoa
Written:
Barnaba,
Vanessa
Mdee,
Noel
Mkono
Produced:
Nahreel

Attention! Feel free to leave feedback.