Lyrics Dunia Ina Mambo - Various Artists
Oh
oh
Dunia
ina
mambo
bana
Usishangae
sana,
sana
Tena
sana,
sana
(eh
ehe
eh)
Hata
mimi
nashanga
bana
Ukiniona
waniona
na
aibu
sana
Wasee
wangu
kwa
mtaa
wanawika
bana
Siku
hizi
naogopa
kuomba
Bwana
Juu
hata
mifuko
za
wakora
zaimba
Hosana
Walinipa
uongo
nami
nikakubali
nikamfuata
nyuki
Nikalimwa
na
asali
Weka
tumbo
mbele
wacha
akili
nyuma
Maiti
kavalia
Walisema
sikuskia,
ooh
Mama
na
baba
walinighusia
ewe
kijana
Kuwa
mwanangu
jionee
Dunia
ina
mambo
Yao
sikuyasikiza
Sasa
mimi
najuta
Kweli
najionea
Dunia
ina
mambo
Hey
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
sana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
Dunia
ina
mambo
ooh
Nafunga
bao
Niite
pita
dao
Ubaya
ya
binadamu
Ni
rahisi
kusahau
Changu
ni
chetu
Lakini
Chako
ni
chako
Mtu
wangu
ah
aah
wacha
vako
Marafiki
wamekuwa
manafiki
bana
Najionea
tena
kushangaa
sana
Niliacha
kuwa
mjinga,
(nini)
Ati
sasa
najiringa
Ukistaajabu
ya
Musa
ya
Firauni
bado
Walinambia
kijana
Jihadhari
na
'limwengu
Hao
walimwengu
si
wazuri
kwako
kijana
Yao
sikuyasikiza
Sasa
mimi
najuta
Kweli
najionea
Dunia
ina
mambo
Hey
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
sana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
Dunia
ina
mambo
ooh
Ukiwa
nao
leo
marafiki
ni
wengi
sana
Watakusifu
-ooh
wewe
kijana
mzuri
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
Ukiwa
hunao
wengi
wanakukimbia
Na
mengi
kusema
wewe
kijana
mbaya
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
sana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
(Dunia
ina
mambo
bana)
Dunia
ina
mambo
ooh
Dunia
ina
mambo
Dunia
ina
mambo
ooh
ooh
wo
wo
wo
wo
wo
wo
Dunia
ina
mambo
Dunia
ina
mambo
Dunia
ina
mambo
Ah
aah
aaah
Ah
aah
aaah
Attention! Feel free to leave feedback.