Wachira Gatama feat. Mordecai Kimeu & Kenneth Muya - Love Phobic Lyrics

Lyrics Love Phobic - Wachira Gatama, Mordecai Kimeu & Kenneth Muya



Walisema mapenzi ni kikohozi
Hawakukosea mapenzi hayafichiki
Nami baby niko hapa nasaka riziki
Natafuta natafuta sukumawiki
Im love phobic
Im love phobic eeeahh eaahh
Naogopa (naogopa) naogopa mapenzi
Im love phobic
Im love phobic eeeahh eaahh
Naogopa (naogopa) naogopa mapenzi
Malkia alisema ananipenda
Na mimi nikasema nampenda pia
Sana sana nilikuwa nafurahia akinikaribia alafu ananiita my dear alikua anafanya roho yangu inakimbia.
Juu alikua na sauti ile tamu tena clear



Writer(s): Kennethe Muya Mukhwana, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama


Wachira Gatama feat. Mordecai Kimeu & Kenneth Muya - Love Phobic
Album Love Phobic
date of release
24-04-2015



Attention! Feel free to leave feedback.