Wakadinali - Kawaida (Skillo) Lyrics

Lyrics Kawaida (Skillo) - Wakadinali



Yoh yoh yoh, Loski Skillo (Skillo)
Cheki, mi nimegaga na upwa
Na bado wali ni mkavu
Usiku na mchana kutwa nyi mkidhani nimekaa tu
Deals nimerushwa zingine zimecome through
Wamekula rushwa zingine wakani ngafu
Ndio nilianza kukaficha hata before walete curfew
Naeza acha udance ama nisoul search you
Kwa stenje uongo mtupu, truth belongs to the stu ni bazu mtrue
Renat aligive birth tu ndio nicross my tears and dot my eyes
Me get down pon me knees and close my eyes
But this doesn't mean you can mess with I on I
Sababu mi si believe in 'eye for an eye'
I believe in eye for an eye and an eye and a bunch of other eyes
Nipeleka DCI nikupeleke kwa the most high
Just mind your own bizna na mi stakumind
Ka imetoka hizi streets believe me ni mine
Mind your own bizna na mi stakumind
Ka imetoka hizi streets believe me ni mine
Loski Skillo
Na hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Na hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Hi ni kama kawaida ya binadam
Kama kawaida ya binadam
Kama kawaida ya binadam
Kama kawaida ya binadam
Ni kama kawaida ya binadam
The one you can kill for maybe anakutakia kifo
Binadamu ako hivo that's why I keep it simple
Negativity na evil zikitokea sipo
Bila malipo shughuli ifike mwisho
Siitiki mwito hi ni roho si wito
Ni ya wazito maimbo chukua sick off
Si tiktok jingle hi ni real talk hip-hop
Ya kuskizwa ukiwa indoors mkihickiwa sweet off
Jeshi ni ya morio jah suski sinanga arif
Kenti avoid kupass ka si mi nimeisaniff
Touch of class ni maduanzi hunikashif
Vase after vase I'm on a different tariff
Achana na mafala hudai mali ni mali
Unapeana answer hujui swali ni gani
Mi si rapper mi ni msanii
Aah si msanii hata mi ni mfanyi bihashara
Kwani nyi mantuni mi sijai acha hizi tamaduni
Hehe ni Loski Skillo tant entertainment tan ting



Writer(s): Stephen Odongo


Attention! Feel free to leave feedback.