Whozu - Doko Lyrics

Lyrics Doko - Whozu



Too much money
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
(Its S2kizzy beiby)
Nimeshikwa na kipururu mama
Wangu keeper anataka goli
Nikapate kiputururu mama
Kwenye bedi Sama goli
Lala! Ah ameshiba anataka kulala
Basi leta mto, Lala!
Ah ana mbwembe kushinda jimanala
Yaani diko diko, Lala!
Ananoga ka tende ka peremende ndende
Ana bahari mji ka solo (kasolo kasolo)
Somersault kwenye godoro (godoro godoro)
Nakanyonya kama kandolo (kandolo kandolo)
Nakaganda kwenye chochoro (khochoro)
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Ooh maduu, ooh madee
Ah du maduu, ooh madee
Sura zimevunda wanionea gere lelele
Wasifanye ka tunda waninyoe na nywele lelele
We sasambua sasambu (weka)
Twende Arusha Marangi (weka)
Saa ya muhogo Chachandu (weka)
Hadi cha nyuma cha kwangu
Ana bahari mji ka solo (kasolo kasolo)
Somersault kwenye godoro (godoro godoro)
Nakanyonya kama kandolo (kandolo kandolo)
Nakaganda kwenye chochoro (chochoro)
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Lala! Ah ameshiba anataka kulala
Basi leta mto, Lala!
Ah ana mbwembe kushinda jimanala
Yaani diko diko, Lala!
Ananoga ka tende ka peremende ndende
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume nyume unaduku, dukua duku
Laizer on the Mix
Too much money
Too much money



Writer(s): Salim Kassim Maengo, Oscar John Lelo


Whozu - Doko
Album Doko
date of release
01-04-2020

1 Doko




Attention! Feel free to leave feedback.