Lyrics Huendi Mbinguni - Whozu
Switch
Whoozu
Yeeza
man
yeezaya
Put
the
fire
upon
dem
Lord
have
mercy
It's
2kizzy
baby
Whoozu
man
Mbinguni
man
Deali
Naona
kisa
kujuana
Umezidisha
sifa
mpaka
umenyoa
vibaya
Style
za
singeli
nacheza
nyimbo
za
choir
Umeninyima
lifti
Uncle
una
roho
mbaya
Ukivua
viatu
mguu
kama
ume
expire
Yeah
Cheki
mwili
mzima
umejichoraa
tattoo
Unawaza
urithi
mshua
kapata
nafuu
Vitu
vyako
feki
bado
unauza
bei
juu
Unajisahaulisha
chenji
unaminya
juu
juu
Watasema
eeh
eeh
napiga
kelele
Maneno
maneno
mengi
na
kiherehere
Kubishana
mi
sipendi,
naomba
muelewe
Ila
ukweli
ndio
(Huooo)
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
(ye
ye
ye
ye)
Huendi
mbinguni
(ye
ye
ye
ye)
Huendi
mbinguni
Ndo
ushafelii
ehh
(huendi
mbinguni)
Huo
ndoukweli
eeh
(huendi
mbinguni)
Ndo
ushafelii
(huendi
mbinguni)
Huo
ndo
ukwelii
Ahh
Ati
unakula
bia,
na
kwenu
haujajenga
Achanga
urwambi
urwambi
una
culture
pewa
Posa
haijafika
unamsnitchi
mshenga
Shepu
sio
yako,
ume
edit
pic
(aiyee
iyaya)
Mtumishi
unasinzia
ibadani
Unatia
uwongo
mpaka
msibani
Nikiwa
serious
unafanya
utani
Unanibeep
alafu
haupatikani
(yeah)
Cheki
mwili
mzima
umejichoraa
tattoo
Unawadhaurizi
mchuna
ukapata
nafuu
Vitu
vyako
feki
bado
unauza
bei
juu
Unajisahaulisha
chenji
unaminya
juu
juu
Watasema
eeh
eeh
napiga
kelele
Maneno
maneno
mengi
na
kiherehere
Kubishana
mi
sipendi,
naomba
muelewe
Ila
ukweli
ndio
(huooo)
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
(ye
ye
ye
ye)
Huendi
mbinguni
(ye
ye
ye
ye)
Huendi
mbinguni
Ndo
ushafelii
ehh
(huendi
mbinguni)
Huo
ndoukweli
eeh
(huendi
mbinguni)
Ndo
ushafelii
(huendi
mbinguni)
Huo
ndo
ukwelii
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
Huendi
mbinguni
It's
2kizzy
baby
Attention! Feel free to leave feedback.