Whozu - Kwa Leo (feat. Billnass) Lyrics

Lyrics Kwa Leo (feat. Billnass) - Whozu



Mlinzi nishapata ngao nalinda pakubwa
Kanipandisha dau, nakula vikubwa
Na lips mshangao, vidigidigi sitaki tena
Yezaa man yeza yeza
Nikikumiss nashindwa hata kusubiri
Una vionjo mpaka nimevikariri
Una manjegeke mama sio poa
Call me daddy
Nipe kwachuckwachu ma, nikulishe muhogo
Fatuma,shuka chini kidogo
Usinipe vya kupima nusu ama robo
KUnuna ntakulenga kwa nyodo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) Kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Nataka piga deki kile kile kisima
Aga Khan Aga khan pale mzizima
Unavyorindima, niko winji ma
Kucheza geji mwendo flani wa kupima
Amina, unaniacha hoi ukilowesha kanga
Zima koroboi nataka kupanda, mambo ya panga boi madoido tanga
Wazimu unanipanda jamaa(panda)
Stimu inayoyoma mama(panda), mikao flani ya bodaboda dada (panda)
Hata kwa ngazi double deka jamaa (panda)
Billnas Billnas
Nipe kwachukwachu ma,nikulishe muhogo
Fatuma,shuka chini kidogo
Vya kupima nusu ama robo
Ukija kununa ntakulenga kwa nyodo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
S2kizzy baby
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa



Writer(s): William Nicholaus Lyimo, Salim Kassim Maengo, Oscar John Lelo


Whozu - Kwa Leo (feat. Billnass) - Single
Album Kwa Leo (feat. Billnass) - Single
date of release
20-10-2018




Attention! Feel free to leave feedback.