Lyrics Shida Ndogo Ndogo - Whozu
Yeeh!
Unamjua
Dingoo
Too
Too
Too
Much
Money
S2kizzy
baby
Sina
Shida
Ndogo
Ndogo
Jasho
langu
faida
kwangu
aisee
Sina
shida
ndogo
ndogo
Nadili
na
mishe
zangu
mchana
usiku
Sina
shida
ndogo
ndogo
Omba
jero
nikasirike
nikupe
buku
Sina
shida
ndogo
ndogo
(Shida)
Msije
shtuka
mkiniona
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina(Ndogo
Shida)
Huna
cha
kufanya
njoo
kwangu
nikupe
mishe
Umeshinda
njaa
kaa
nami
nikulishe
Nitalipa
deni
nikukopeshe
ukalipe
Wana
pesa
chafu
waje
kwangu
wazisafishe
Asante
Mungu
kwa
baraka
unanielewa
Nimesha
waacha
sio
level
zao
tena
Ziwe
mbivu
ziwe
mbichi
nazimenya
Ndo
isha
kwisha
sifanani
nao
tena
Nimeridhika
ona
nilivyo
nawiri
Maisha
yamechange
mjomba
msikariri
Tambua
pesa
ndugu
yake
kiburi
Shida
kwa
chawa
wenye
pesa
manguli
Sina
Shida
Ndogo
Ndogo
Jasho
langu
faida
kwangu
aisee
Sina
shida
ndogo
ndogo
Nadili
na
mishe
zangu
mchana
usiku
Sina
shida
ndogo
ndogo
(Too
much
Money)
Omba
jero
nikasirike
nikupe
buku
Sina
shida
ndogo
ndogo
(Shida)
Msije
shtuka
mkiniona
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sasa
ni
muda
wa
kuvimba
vimba
Na
mabunda
mi
simbazi
Change
change
ni
za
kwenu
nitake
radhi
Najilipaga
kwa
siku
siku
sio
kwa
mwezi
Now
you
know
mambo
yangu
top
Kwangu
kutesa
ni
kwa
zamzamzam
Ishiwa
pesa
ukose
hamhamham
Pata
pesa
ni
masham
sham
sham
Oya
mambo
ni
bam
bam
bam
Oooh
Shida
zako
tupa
huko
Zikiisha
niite
Kwenye
mchezo
bado
mdogo
Naomba
usinitishe
Nimeridhika
ona
nilivyo
nawiri
Maisha
yamechange
mjomba
msikariri
Tambua
pesa
ndugu
yake
kiburi
Shida
kwa
chawa
wenye
pesa
manguli
Sina
Shida
Ndogo
Ndogo
Jasho
langu
faida
kwangu
aisee
Sina
shida
ndogo
ndogo
Nadili
na
mishe
zangu
mchana
usiku
Sina
shida
ndogo
ndogo
(Too
much
Money)
Omba
jero
nikasirike
nikupe
buku
Sina
shida
ndogo
ndogo
(Shida)
Msije
shtuka
mkiniona
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina(Alelelilalila)
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Sina
shida
ndogo
ndogo
sina
Instrumental
Attention! Feel free to leave feedback.