Willy Paul feat. Khaligraph Jones - Bora Uhai Lyrics

Lyrics Bora Uhai - Willy Paul , Khaligraph Jones



Mmmmhh ma mama (Beat ya Pozzee)
Mmmh ma mama (Saldido)
Mmmh ma mama
Uyu ni Pozee sio rozee
Uyu ni Pozeeee
Uyu ni Pozee sio rozee
Uyu ni pozeee
Sijui ni shaku ama ni kuku
Wananitingitingi kama bantu
Some people make me go crazy
Wananiita ata ng'ombe
Wananifollow Willy Willy kama drama
Utadhani mimi Willy instagrama
Wanauliza naendesha gari gani?
Ni hii bima ama ile benz?
Wanauliza mi naishi nyumbe gani?
Ni Runda one ama Runda mbili?
Wanauliza naubiri injili gani?
Injili ya mwokozi ama ya mabinti?
But asante Mungu kwa uhai hee!
Mmm bora uhai
Uuuoh The ting brrrbbble
Bora uhai
Bora uhai!
Bora uhai!
Iiih eeh ma mama
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Iiih eeh mama eeh
Napokea baraka kutoka kwa most high
Nkapick mansion iko close by and a private jet men I don't lie
Hii yote bila whitecollar ama bow tie
Mi husema God husaidia wale ujipea motisha
So call me David vile mkono narudisha
Nasema asante na sio pupa msee
So wivu ya nini na atakupa basi if you can pray
Na atakaa nina wabore nikishinda nawatajia Kayole
Bora ujue sina ngori
Bado tuna shine ama vipi Pozzee
Kushine tunashine ama vipi OG
Kwa mwenyezi tuko fiti OG
Wenye roho mbaya tunaweke fit
Hatuwakanyagi fit ndi
Ndio baraka zikicome waone kwa mbali
Wabaki wakilia kama tulady
I got the congregation saying huyo pastor ni moto
Nikitibu nakafunga mi si daktari msoto
Brand international saa sitaki local
Bora uhai whether chai ama Cadbury coco
The ting brrrbbble
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ii eeh mama mama Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ii eeh ma mama
Uyu ni Pozee sio rozee
Uyu ni Pozee uyu ni Pozee, sio rozee
Uyu ni Pozee
Bora uhai!
Bora uhai!
The ting brrrbbble
Bora uhai!
Bora Uhai!
Iieehh mama mama
Bora uhai!
Bora uhai!
Bora uhai!
Ieehh mama eeeh



Writer(s): Willy Paul


Willy Paul feat. Khaligraph Jones - Bora Uhai
Album Bora Uhai
date of release
17-09-2018



Attention! Feel free to leave feedback.