Willy Paul - Bebi Bebi Lyrics

Lyrics Bebi Bebi - Willy Paul



Mapenzi kizungu zungu Oooh mapenzi kizungu zungu Teddy b Oooh my
Heart oooh, ameichukua eeeh My focus oooh,
Ameichukua eeeh Mapenzi yalimchanganya daudi yeiii Mapenzi
Kamchanganya fahamu uuuh Inabidi nimwombe mwenyezi jalali kwa moyo wa
Ndani(oooh) Coz toto si toto,
Ju animaliza toto na sio utoto (yeah eeh) Amechanganya wathii,
Nairobi city, mpaka mombasani I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)
Bebi bebi bebi(na nguvu yangu) Bebi bebi bebi(na maisha yangu) Bebi
Bebi bebi(kizungu zungu) Bebi bebi bebi(my number 1 queen) Oooh
Jameni Sijamwona kama yeye maishani Ana roho ya dhahabu na
Adabu(oooh) Huyu bebi yuko conc and sweet Upishi wake pia sawasawa
Sweet Akitembea kila kitu ding ding Anapopita kila mtu ding ding
Akitembea kila kitu ding ding Anapopita kila mtu ding ding Oooh my
Heart oooh, ameichukua eeeh My focus oooh,
Ameichukua eeeh Nitapiga dua,
Kwake maulana eeh akulinde mama Nitazidi piga dua,
Kwake maulana eeh akulinde mama I call her bebi bebi bebi (moyo
Wangu) Bebi bebi bebi(na nguvu yangu) Bebi bebi bebi(na maisha yangu)
Bebi bebi bebi(kizungu zungu) Bebi bebi bebi(my number 1 queen) Bebi
Bebi bebi I know me kijana mdogo Na nko na fear nisifanye
Mistake ya Mapenzi kizungu zungu Na
Nko na fear nisifanye mistake ya...
Aaah Mmmh mapadre wanapatwa kizungu zungu Masheikh wanapata kizungu
Zungu Na mimi poze naogopa zungu(eeeh aaah) Nimefall in love Nimefall
In love Nimefall in love I call her bebi bebi bebi (moyo wangu) Bebi
Bebi bebi(na nguvu yangu) Bebi bebi bebi(na maisha yangu) Bebi bebi
Bebi(kizungu zungu) Bebi bebi bebi(my
Number 1 queen) Oooh call her bebi bebi ...
Bebi bebi ...
Bebi bebi ...
Yeye ndo moyo wangu Ndo nguvu yangu Oooh kizungu zungu My
Heart oooh, ameichukua oooh My focus oooh, ameichukua oooh



Writer(s): Willy Paul


Willy Paul - Bebi Bebi
Album Bebi Bebi
date of release
27-02-2019




Attention! Feel free to leave feedback.