Lyrics Usinijaribu - Wini
Chozi
la
furaha
mpaka
nashangaa
linatoka,
Dukuduku
kifiani
lilonisumbua
mimi
linatoka,
kwani
hisia
ziliniumiza,
Kwenye
moyo
wangu,
nabaki
nalia
nalia
oaoah,
Na
tena
niliona
kiza
eeh
mola
wanguu
mapenzi
balaa
balaa
oaoah
Nilipiha
magoti
nkaota
sugu
kwenye
miguu
kubembeleza
mapenziii,
Nikamuonga
onga
nkatoa
pesa
kwenye
vibubu
ila
kupendwa
sipendwii
Nishaumwa
na
nyoka
mwenzako
naogopa
Majani,
nisije
nikakupa
moyo
wangu
ukaeka
lehani
Usinijaribu
Danganya
toto
sitaki
usinijariiibu
usinijaribu
Usinijaribu
Danganya
toto
sitaki
usinijariiibu
usinijaribu
Usinipetipeti
nikazama
mazima
nikashindwa
kutoka
mwisho
ukaniacha
Nalia,
usinidanganyeee
usinichanganyee
unifanye
kilema
wa
penzi
Magongo
uyashike
wewe,
Nijibanebane
(aiyaaah)
furaha
upate
weee
(Aiyaaah)
unifanye
ka
fisi
mifupa,
nyama
unakula
wewe.
Nilipiha
magoti
nkaota
sugu
kwenye
miguu
kubembeleza
mapenziii,
Nikamuonga
onga
nkatoa
pesa
kwenye
vibubu
ila
kupendwa
sipendwii
Nishaumwa
na
nyoka
mwenzako
naogopa
Majani,
nisije
nikakupa
moyo
wangu
ukaeka
lehani
Usinijaribu
Danganya
toto
sitaki
usinijariiibu
usinijaribu
Usinijaribu
Danganya
toto
sitaki
usinijariiibu
usinijaribu
Attention! Feel free to leave feedback.