Wini feat. Marioo - Ado Lyrics

Lyrics Ado - Marioo , Wini



Ts aloney on the track
Madiko diko ya Tanga,ziweke kwenye kisosi
Radha kama asali hatari hatari, tamu tamu
Mapiko piko na khanga kwenye meza kwenye kochi
Radha kama asali hatari hatari tamu tamu,
Kama utaondoka nitaloose control ukiwa mbali nitaloose control,
Jua zaidi yako mi sina
(Oyaa wee)
Wa kuziba pengo lako sina
Mwenzako sielewi chakari ushanichanganya (changanya)
Ooh baby basi fanya
Ado ado aah
Nipe kido kido utaniua
Ado ado
Basi fanya kido kido utaniua aah
Ado ado (×2)
(Marioo.)
Ushanikalia kwa juu kwenye kichwa upo kwenye ubongo,
Hujaniita naitika aah nasaka mukongo,
Ushanivunjaga maguu kubanduka labda kwa magongo,
We jiamini mama citaaa
(Oya wee)
Basi tuhame manzese twende masaki
Napataga lawama punguzaga miguno, (aghh)
Oya wee
Ukiungia nazi punguzaga mikuno
Oya wee
Mwenzako sielewi chakari ushanichanganya (changanya)
Ooh baby basi fanya
Ado ado aah
Nipe kido kido
Utaniua aaih
Ado ado
Basi fanya kido kido
Ushaniua
Ado ado (×2)
Ado ado ado
Ee mix killer



Writer(s): Marioo Toto Bad


Wini feat. Marioo - Ado
Album Ado
date of release
05-08-2019

1 Ado



Attention! Feel free to leave feedback.