Yemi Alade - Nakupenda (Portuguese Version) Lyrics

Lyrics Nakupenda (Portuguese Version) - Yemi Alade



Yangu uje maishani mwangu umenipa furaha
Najihisi kama mtoto
Kuwa wako ndio nataka
Sema ruka, niruke
Sema cheza, nicheze
Unachotaka kiwe, Bora tu niwe na wewe
(ah)
Ooh wanijaza, sukari
Zaidi hata ya nachotaka, hebu densi.
Daaaance
I wanna be with you, boy that's the truth
Naakupendaaaaa (nakupenda nakupenda)
Uu-aa the joy, you give me boy.
Naakupendaaaaa (nakupenda nakupenda)
Yeah yeah yeah (yeah yeah yeah)
SHINSKI...
Nakupenda penda penda
'Kitaka kukuandikia barua nikose wino
Kukuprosia nikose diamond ring
Huh baby cha muhimu, nikumbuke
mapenzi sitaja kosa wee.
We can talk about war
Can talk about politics
Or we can talk about people
How do I talk about loving you my
darling without sounding so Igbo Igbo
You make me be my ego
I love you more than life itself
Babe si unipe smile ooh
Naakupendaaaaa (nakupenda nakupenda)
Uu-aa the joy, you give me boy
Naakupendaaaaa (nakupenda nakupenda)
Ooh baby girl, you rock my world
Nakupenda, penda
Oh boy I surrender
Baby you remind me of my favorito
*father*
Remember remember, last year ukisema
When I introduce to my mama and my papa
Mama no breathe, papa no breathe
It in way I love 'other' to them no see
Mama no breathe, papa no breathe
Last last thing we are greasy
Naakupendaaaaa (nakupenda nakupenda)
Uu-aa the joy, give me boy
Naakupendaaa (nakupenda nakupenda)
Yeah yeah yeah (yeah yeah yeah)
Naakupendaaaaa...
Nakupenda




Yemi Alade - Mama Afrique
Album Mama Afrique
date of release
30-06-2017




Attention! Feel free to leave feedback.