Lyrics Hands Up - Young Daresalama
Hands
Up
Watcha
Guantaman
natakin
stand
up
Weka
mkon
juu
babe
girl
watsup
Chap
chap
ohaa
chap
chap
ohaa
Chap
chap
ohaa
chap
chap
kwenye
maik
ya
rap
Yea
siku
imeanza
jua
kali
nimeamka
saa
sita
jana
nlkua
kwenye
party,
wakapiga
picha
leo
stor
kitaan,
magazet
yameandika
kwan
nina
ki2
gani
mwisho
wangu
umefika,
wamesahau
kama
jua
dunian
ninavyohitajika
wanasema
mabaya
mazur
yanafichwa,
wamekua
malaya
wakubwa
kifikra

Attention! Feel free to leave feedback.