Lyrics Hatuna Kesi - Young Killer , Fid Q , Belle 9
First
of
all
Sina
bahati
ila
poa
na
isije
Kwangu
safi
kwani
siku
zote
naishije
Zingua
na
upigwe
Uaibishwe
we
sitaki
Nikupe
moyo
maana'ke
mimi
nife
we
ubaki
Sikusoi
haki
ile
inatesa
acheni
Nasikia
aliyegundua
pesa
pia
alikufa
na
madeni
Sa
si
ujinga
Wa
wazi
Wa
kutumia
ngazi
chini
ya
uvungu
Wakati
hizi
surprise
kabla
hata
ya
Harmonzie
na
mzungu
Okay
shotout
to
all
ma
friends
to
become
family
Hatufanyi
mziki
Wa
trend
na
hii
ndo
kauli
mbiu
kamili
Na
ukifahamu
hii
hushangai
hawa
pimbi
wakinitukana
Ni
kawaida
kama
hizi
ndoa
za
wabibi
na
vijana
Nshakuwa
sasa
maana
kupata
ni
kutumia
Tena
hali
ya
sasa
hata
kwa
buku
napata
bia
Hata
supu
ukitaka
pia
Wew
mchuchu
uliyedata
sikia
Me
naishi
kirasta
japo
virasta
vya
kuzugia
Kila
sehemu
hamuoni
kumbe
sitaki
Ugumu
Wa
game
ndo
umefanya
Chameleon
amekuwa
Kalaki
So
waambieni
hawa
watoto
wakue
waache
kucheza
Nyimbo
zao
ambazo
ukisema
ununue
mia
tisa
inapendeza
Oooh
green
light
Unataka
hutaki
Mkiwaka
tunawapa
usafi
Tuko
gudaguda
Tena
mbele
ya
wakati
Tushapuuza
stress
hatutaki
Hatuna
Yeyeyeeee
Hatuna
Hatuna
kesi
na
yoyoteeee
Hakuna
superstar
bongo
leta
star
wanakunyea
Unapgwa
dongo
unawakataa
Kwa
shombo
wanakupondea
Choo
cha
ubongo
kwenye
makala
za
umbea
Na
huu
mjadala
hata
Kwa
mchongo
Kwa
watu
maswala
ya
kuongea
Endelea
kupushpush
Sio
kazi
kuuza
kush
bab
Hauwez
gushgush
Uswazi
kuna
wazushi
mob
Town
hadi
bushbush
Uduwanzi
haunigusi
bab
Wahuni
tunatustus
Hatuhifadhi
chuki
bab
Unatoka
chocho
chumbaa
anaingia
kati
Dar
ya
motomoto
cha
ajabu
fire
hutumia
maji
Na
roporopo
sio
haya
hujitia
ushababi
Nyie
ni
watoto
tu
mnastahiki
Juma
Nyoso
uwape
unandy
Mabingwa
Wa
majungu
Na
wasiongiza
note
mifukoni
Mbu
hapewi
sifa
Kwa
kupigwa
kofi
mgongoni
Hip
hop
misingi
kuifuata
ni
kutafuta
njaa?
Nishafeli
mara
nyingi
sijaiacha
kukata
tamaa
Nipo
kitaa
tu
na
wahuni
suti
wanainukisha
bangi
Mafanikio,
ni
kama
chupi
hakikisha
hawaijui
rangi
Usawa
ukikaba
tunalia
Kwa
baba
Jesca
Tunakaza
party
inajaza
hakuna
anayetumia
pesa
Attention! Feel free to leave feedback.