Zuchu feat. Diamond Platnumz - Cheche Lyrics

Lyrics Cheche - Zuchu , Diamond Platnumz



Iii... arira rarira
Rarari rarari
Iyaa, iyaa iyaa eey
Tiaria, rari rari eey
(Mocco)
Te amor Te amor
Le te quero, quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru
Mwenzako migulo chengele
Kwa ndani naugulia kwa nje bwerere
Sema upendacho utakula jegele
Kinyama kulumagia au nkuchumie tembele
Na bila huruma unanijuza
Kwamba unayabaruza
Mi mtoto unanikuza
Wee aah
Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana
Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Tunachezeshana
Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Eeeh unapendaga chocolate (enhe)
Mavanilla nilla (enhe)
Tam tam sweety ety (enhe)
Nikichenga ka Roja Mila (enhe)
Brrr okey!
Penzi koleza uje wa Dubai
Huba lipambe moto
Kama mafuta kwa karai
Okey na ulivyo katoto lito to!
Leo mpaka kokoriko ko!
Ghetto ni kulamba mwiko ko!
Sakafu hadi kwata niko ko!
Korikoko mama utaniua, nikomeshe!
Ya leo kiboko, nikomeshe!
Imezidi utamu, nikomeshe!
She! She! She! Komeshe!
Asa kukuacha wewe (nitawezaje?)
Niende kwa mwengine (nitawezaje?)
Ujeuri sina
Jinsi twachezeshana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Tunachezeshana
Che che che rhumba che
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Kinkiri kankara kinkiri
Zanimalizaga
Eeh na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Venye unavyo kinkiri
Kinkiri kan kinki
Kinkiri kanka
Ki! Ka! kirinkaka!
Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana
Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana
(Kwa Mix Lizer)



Writer(s): Zuchu


Zuchu feat. Diamond Platnumz - Cheche (feat. Diamond Platnumz) - Single
Album Cheche (feat. Diamond Platnumz) - Single
date of release
13-09-2020

1 Cheche



Attention! Feel free to leave feedback.