Zuchu - Makonzi Lyrics

Lyrics Makonzi - Zuchu




LG, hii
LG, ah
Ah, ah-ah (kuMjita)
(Mr LG)
Nd'o kakwambia ataniacha
Ha-ha, he-he, unachekesha sana
Hizo ni ndoto za Alinacha
Ha-ha, he-he, anakundanganya
Hata umpe nini, hunin'goi
Unajisumbua mwaya
Huyo bila mimi, hatoboi
Nimemshika pabaya
We' chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We' chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
Na nikikukuta nae
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa
Ha, kwanza unitambie, umenizidi nini?
Ku-battlle na mie uje na wenzako 90
Uliza uambiwe, mimi mtoto wa nani? (Kapaa)
Ukijifanya chawa, mi' mwenzako kunguni
Una nini?
Huna jipya nenda kwa Mwampo-po
Kikisafishwa labda nd'o upate soko
Ah, una nini?
Huna jipya nenda kwa Mwampo-po
Kikisafishwa labda nd'o upate soko
We' chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We' chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
Na nikikukuta nae
Patachimbika (we-ee)
Nitakutia makwenzi (utanikoma)
Nitakutikisa
Patachimbika (ah-yee)
Nitakutia makwenzi (we' kudadeki)
Nitakutikisa (ayi)
(KamixLizer)





Attention! Feel free to leave feedback.