Lyrics Sukari - Zuchu
Eti
nimemlambisha
ananambia
chombezaa
(chombeza)
Tena
nikiizidisha
ananambia
kolezaa
(koleza)
Nikitaka
kusitisha
ananambia
ongezaa
(ongeza)
Japo
imesibitishwa
ila
itampoteeza
a
Ikipanda
ni
bala
(naogopa)
Ikishuka
ndo
hataali
(naogopa)
Asije
pata
madhalaa
(naogopa)
Akaikosa
na
hali
(naogopa)
Radha
yake
msalaa
(naogopa)
Shila
ya
kizanzibar
(naogopa)
Nami
simpii
mi
wala
Akitaka
nampa
Ai
su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Na
akilia
njaa
Njuu
njaa
sifanyi
ajisi
Namjazia
jaa
Juu
jaa
na
vitangawizii
eeeh
Baba
chanja
baba
chanja
e
(eeeeh)
Chukua
vyote
chukua
(kulaa)
Vitafune
nganjanganja
e
(eeeeh)
Chakua
mwaya
chakau
(kulaa)
Ujibusti
na
karanga
e
(eeeeh)
Tuliza
na
kitumbua
ila
(kulaa)
Jiadhali
na
majanga
we
Usije
ukaugua
mana
Ikipanda
ni
balaaa
(naogopa)
Ikishuka
ndo
hataali
(naogopa)
Asije
pata
madhala
(naogopa)
Akaikosa
na
hali
(naogopa)
Radha
yake
msalaa
(naogopa)
Shila
ya
kizanzibar
(naogopa)
Nami
simpii
mi
wala
Akitaka
nampa
Ai
su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
Suger
sukari
(nampatia)
Su
kaari
(nampatia)
A
Suger
sukari
(nampatia)
Nimloge
kwanini
kashanogewa
(daambua
dambua)
Udambu
wa
sukarini
tamu
kolea
(daambua
dambua)
A
sema
da
dambua
(dambua)
We
dambua
(dambua)
Alua
aluaa
(dambua)
We
dambua
(dambua)
A
sema
da
dambua
(dambua)
We
dambua
(dambua)
Inama
kama
unafua
(dambua)
Kigulu
nyanyuaa
(dambua)
Ey
Attention! Feel free to leave feedback.