Zzero Sufuri - Matiati Lyrics

Lyrics Matiati - Zzero Sufuri



Yoh yoh
Zzero Ahh tia tia tia ti
Tia tia tia tia ti
Kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Si napenda vile muda unayoyoma
Si ni kama gode vile inakuchoma
Si ni kama mbuku rada nishasoma
Bado huto tutoto tupoa poa bado natuona
Eeeh mahali niko huwezi uliza swali mtu
Hapa kila mtu ako na kutu
Shika wako mi nishike wangu mutu eeeh
Acha kipusa basi mi nikubusu
Ati kam tuzitoke, tudance adi shoke
Na usiogope, mdogo tuziondoke
Mkate msake, nipate njote
Nai hadi coste, mi washa ni note
Nakuwanga fete, twende twendete
Shaka machete, jibambe usitete
Si, leo ni siku yako mami
Kam tukawatoke tukakule kingwai
Na bado ukinijenga sitabaki ati ati ati
Kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Ati ati ati ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Rombosha ka uko nazo matia tia tia
Matia tia tia
Tingisha hizo mara matia tia ti
Rombosha ka uko nazo matia tia tia
Matia tia tia
Cheki, mambo Lucy napenda hako ka pussy
Kakue ka brown sanasana tu keusi
Kako na tunywele tusoft ka tausi
Ni karefu sana mi hukapimaga na uzi na
Venye kuna joto si ukatoe ndani ya kamisi
Najua kanasikia njaa, hakajabonya toka juzi
Mi ndio nawezana, hao wengine jo ni upuzi
Eeeh, hao wengine cheki
Ati ni ngware ngware mdogo mdogo nikipiga bag
Kamsupa kakakam kakadai kahug
Kakadai nimpige maji mpaka ijae kwa jug
Mdogo mdogo tukicheki movie ya Snoopie Dog
Cheki, kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Kwani niaje bado hujaskia ati ati
Tingisha hizo mara matia tia ti
Mikono juu ka unapenda matia tia tia
Right, left ati ati
Si napenda vile muda unayoyoma
Si ni kama gode vile inakuchoma
Si ni kama mbuku rada nishasoma
Bado tutoto tupoa poa bado natuona
Eeeh mahali niko huwezi uliza swali mtu
Hapa kila mtu ako na kutu



Writer(s): Donald Kente Rwebangira


Zzero Sufuri - Matiati
Album Matiati
date of release
25-10-2019




Attention! Feel free to leave feedback.