A.T. - Nipigie paroles de chanson

paroles de chanson Nipigie - A.T.



Instrunmental
Hapo ulipo unafanya nini?
Sijui mpenzi we umeshakula
Napata shahuku ya kukuona
Kwani tangu nilipoondoka
Nataka nirudi nyumbani, nikupe stori fulani
Tukiwa pamoja mezani, iih
Kwanza nipigie, mpenzi nipigie (nakupigia, honey)
Nipigie (oh), laazizi nipigie
(Mi nakazi jikoni)
Nipigie (Oh), wife nipigie
(Nakupigia, darling)
Nipigie (Oh), honey nipigie
Mi na we kitu kimoja (oh kimoja)
Mi na we lengo ni moja (oh moja)
Mi na we kitu kimoja (oh moja)
Mi na we lengo ni moja (uh uu)
Nipigie, mpenzi nipigie
(Nakupigia, honey)
Nipigie (oh), laazizi nipigie
(Mi nakazi jikoni)
Nipigie (oh), wife nipigie
(Nakupigia, darling)
Nipigie (oh), honey nipigie
Sema mpenzi unasemaje?
Ndio naweka msosi mezani
Ila nyumbani usichelewe
Mi na hamu na hiyo story
Story yenyewe ya nani? usije nizuga mezani
Maana ninavyotamani (uuw)
Nipigie, mpenzi nipigie
(Nakupigia, honey)
Nipigie, laazizi nipigie
(Naweka vocha mammy)
Nipigie, oh sweetie nipigie
(Ngoja niende dukani)
Nipigie, mume wangu nipigie
(Ngoja niende dukani)
Mi na we kitu kimoja
(Mi na we kitu kimoja)
Mi na we lengo ni moja
(Mi na we lengo ni moja)
Mi na we kitu kimoja
(Najua, najua)
Mi na we lengo ni moja
(Mi na we lengo ni moja)
Nipigie, mpenzi nipigie
Nipigie, mpenzi nipigie
Nipigie, laazizi nipigie
Nipigie, mume wangu nipigie




A.T. - Nipigie
Album Nipigie
date de sortie
23-07-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.