paroles de chanson Aje - ALIKIBA
Yeah,
Oh
yeah,
Wooah,
Ucheshi
na
sauti,
Amenifanya
nammisi
tu
Mwambie
asiogope,
Ali
ni
kipenzi
cha
watu
Tafanya
party
nyumbani,
Yoyote
kwa
ajili
yake
Tena
asije
pekee
yake,
Asiogope
aje
na
wenzake
Tafanya
party
nyumbani,
Yoyote
kwa
ajili
yake
Tena
asije
pekee
yake,
Asiogope
aje
na
rafiki
zake
Basi
mwambie
aje
(aje)
Oh
aje
(aje)
Aje
na
rafiki
zake
(aje)
Hasije
pekee
yake
(aje)
Oh
aje
(aje)
Aje
oh
aje
(aje)
Aje
jamani
aje
(aje)
Aje
nammiss
aje
(aje)
Uzuri
wake
timilifu,
nishamwona
na
watu
maarufu
tu,
Kina
wema
sepetu,
nikaomba
namba
bichwa
kanishusha
shuu,
Ilinikosesha
raha,
lulu
naye
kamdanganya,
Kwamba
mi
ni
wa
kwake,
aniogope
tena
hasinichekee
Ilinikosesha
raha,
lulu
naye
kamdanganya,
Kwamba
mi
ni
wa
kwake,
aniogope
tena
hasinichekee
Basi
mwambie
aje
(aje)
Oh
aje
(aje)
Aje
na
rafiki
zake
(aje)
Hasije
pekeake
(aje)
Oh
aje
(aje)
Aje
oh
aje
(aje)
Aje
jamani
aje
(aje)
Aje
nammiss
aje
(aje)
Oh
aje,
aje
na
rafiki
zake
huyo,
Ohhhh
Aje
leo,
leo
oh
aye,
Mwambie,
ama
ni
french
girl
Niiongee
nae
hee
Viens
mon
amour
Je
suis
quelque
du
bien
Je
vais
veille
sur
moi
Et
toi
tu
vas
veille
sur
moi
C′est
toi
mal
joie
Je
ne
peux
etre
content
sans
toi
Je
vais
veille
sur
toi
Je
suis
quelque
du
bien
Je
vais
veille
sur
moi
Et
toi
tu
vas
veille
sur
moi
C'est
toi
mal
joie
Je
ne
peux
etre
content
sans
toi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.