ALIKIBA - Kheri paroles de chanson

paroles de chanson Kheri - ALIKIBA




(Oh, yeah-ah, mh)
Yeah!
Mocco
Sina vya kuigiza, all eyes on you (all eyes on you)
Kupenda kupitiliza, and you know that's true
Ah, kukupata miujiza baby, you girl
Umenituliza roho (umenituliza)
Ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
Moyoni nimekuhamishia, kaa peke yako
Toka zamani ningekujua, ningekuwa wako
Moyoni nimekususia kaa peke yako
Kheri, kujuana nawe baby, uh
Kheri, kujuana nawe baby, baby, ih
Kanikamata kwenye koo, ananiliwaza kwa roho (kwa roho, kwa roho)
Oh, mahaba shikamoo yamenilemeza kwa roho, roho, oh
She is my darling, she is my darling, she is my darling, yeah
Mtoto mzuri, nashow, show hatari, show hatari, show hatari, eh
Ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
Moyoni nimekuhamishia, kaa peke yako
Toka zamani ningekujua, ningekuwa wako
Moyoni nimekususia kaa peke yako
Kheri, kujuana nawe baby, uh
Kheri, kujuana nawe baby, baby, ih
Kheri, khe-khe-kheri, ri-ri, khe-khe-kheri
The Mix Killer




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.