AT - Vifuu Tundu paroles de chanson

paroles de chanson Vifuu Tundu - AT



Wao hao hao hao wajuaji wa kusema(vifuu tundu)
Wao hao hao hao wanasema yaso maana(vijitu)
Ndo maana hawapokei kwasababu wana laana
Aposa see abando ukucha(4)
Hodi hodi naingia, naziregesha salamu
Mlango walopitia kupita Mimi kharamu
Najua mna hamu., ugomvi kwenyu tunu
Kwa mwenye akili timamu
Kugombana kwake sumu.
(Maneno yenu wala hayamfanyi mtu kua
Mwembaba eeh ndo kwanza azidi kunawiri
Kama shina la mgomba)
Mnapita pita pita kusema wasoyajua
Mnazua zua zua mwishoni mtazomewa×2
Mjumbe ulinambia nikabisha katukatu
Katika hii dunia wengine majini watu×2
(Mwanamke mbea utamjua tu mdomo wake, mweusii kama kunguru)
Minaona bora mfanye yanowahusu
Huo umbea wenu msopitwa kama kasuku ×2 (ndio)
Nyinyi ni lama kasuku, mnanifuata huku
Wooriweeee
Ahaaaa
Uliona wapi nyumba ya udongo ikapigwa deki
Ina huu
Wee ndara tuu
Thamani yako chooni, chumbani waishia mlangoni
Waaammbbiiiee
Kila mwenye chuki na mie
Ujumbe huh umfikie
Mtazidi kunichukia na dunia utaiona moto
Kindumbwe ndumbwe
Kindumbwe dumbwe
Wanalia wanalia hao
Kumbe ni choyo
Kumbe ni choyo
Haooo
Eehh unashangaa Mimi kula kwa



Writer(s): At


AT - Yule Baba




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.