Akothee feat. Diamond - Sweet Love paroles de chanson

paroles de chanson Sweet Love - Diamönd , Akothee



You know
Sina ujanja kwao
Umesha kinywa baba
Kwao sise(sisemi)
N you know macho yangu kwao
Jeuri sina baba
Kwako sihe(sihemi)
.Eenhh wasijekuteka kiwembe
Na mi ukaniacha kizembe
Wakati we shamba ni jembe
.U ar my sweet love...
Kama upendo nyumba tujenge
Ntakushonea shati kitenge
Nyumban kwa mama sie twende
...u ar my sweet love...
Imoro baby ogabiwee nyakaje...
Imoro baby ogabiwee nyakajeeee
Ooonnhh baby u ar my sweet love.
Ooonhh u my.sweet love...
U my sweet love...
Twimbe kwa pamoja
Oonhh baby u ar my... sweet love
U my sweet love .baby u my sweet love
Twimbe kwa pamoja
Skuiz upendo karabai
Zinga upepo wasituzimie mama
Wakati fitina
Binadamu si unawajua
Wengi walaghai...
Sije kesho wakaniibia changama
Mwenyewe uwezo sina
Nikabaki naugua
Mangapi walishazusha tuzonge
Mangapi wengu ni nyang'anye tonge
Ooonhh mangapi yang kachinja na ngo'mbe
Kikwapi cufandaa ulitishia hilizonge
Aanhh kwanz pili pili inawashia nn
Siri sirii yetu we na mimi
Wawili wilii hivi wana nn binadamu bwanaaaaaaa
Kwanz pili pili inawasha nn
Siri sirii yetu we na mm
Wawili wili hivi wana nn binadamu bwanaaa
Oonhh baby.my sweet love
Ur my sweet love oonnhh u my
Sweet love.twimbe kwa pamoja
Oonhh baby u ar my sweet love
(Twende kwa pamoja)mbili mpk moja
U my sweet love
Kwanza pili pili inawasha nn
Siri sirii yetu ww na mm
Wawili wili hivi wana nn binadamu bwanaaa
Pili pili inawasha nn
Siri siri yetu ww na mm
Wawili wili hivi wana nn binadamu bwana
Kwanz pili pili inawasha nn
Siri siri yetu ww na mm
Wawili hivi wana nn binadamu bwanaaa
Leo de cos
TE@m w0rxt
Maqway family empire




Akothee feat. Diamond - Sweet Love
Album Sweet Love
date de sortie
15-01-2016



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.