Alikiba feat. ML - AJE Remix paroles de chanson

paroles de chanson AJE Remix - ALIKIBA , ML



M.I mbaga
Ucheshi na sauti amenifanya nammiss tu
Mwambie asiogope Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake asiogope aje na rafiki zake eh
Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje)
Oh aje (aje) aje oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje)
Uzuri wake timilifu nishamuona na watu maarufu tu
Kina wema Sepetu
Nikaomba namba kichwa akanishushua shuu
Ilinikosesha raha Lulu nae kamdanganya aah
Kwamba mi ni wa kwake aniogope tena asinichekee
Ilinikosesha raha Lulu nae kamdanganya oh
Kwamba mi ni wa kwake aniogope tena asinichekee
Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje)
Oh aje (aje) aje oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje)
M.I mbaga
I say I say I say...
I'm gonna marry you one day come through baby girl
I just want us to speak see we met on a Monday
You must be next Monday cause you make it one week
Have you been to the west side?
Forget whatever you seen on them Nollywood films
I wanna be your best guy
So let's try till you testify no one's better than him
So baby, give me your digits
Let me google map location come and visit
You should show up in something exquisite
I can come over to yours girl where is it?
You could teach me to speak in Swahili
Like sawa sawa mambo vipi?
Can you tell that I'm feeling you really?
Ali Kiba and M.I, my baby, I know that you feel me
Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje)
Oh aje (aje) aje oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje)



Writer(s): Ally Salehe Kiba, Jude Abaga


Alikiba feat. ML - AJE Remix
Album AJE Remix
date de sortie
17-02-2017



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.