Aslay feat. Q Chief - Anibembeleze paroles de chanson

paroles de chanson Anibembeleze - Aslay feat. Q Chief



Rooo,mtoto guchi guchi, juice
Aslay moto moto
Chipsi uduvi, chuna buziii
Aliniyenga yenga na vishanga shanga Vya ki Tanga Tanga,
Nikajiona mjanja Kumbe ni mjinga Alinipiga chenga,
Aliniita mume na ndoa sijafunga nayee,
Kumbe, aliunga tume Ili wabebe zangu mali eeh,
Yaani, yule gume gume nitaanzaje kukaa naye, Eeeh,
Alilishindwa (Mtume), Nitaanzaje kuishi nayee, mmmh
Pilau yake viungo, Aaah aah.
Bibiye usiniache, Aaah aah,
Pilau yake viungo, Aaah aah.
Kishungi usiniache, Aaah aah.
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh,
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Kupenda maradhi, mwenzio siwezi.
Kupenda dhihaka, mwenzio siwezi
Nilipanda Mwembe nikategemea nitavuna madodo
Yaani kupenda nipende, mwisho wa siku nikavaa kanyodo.
Zari sio Wema Umeniacha dillemmaa
Zari sio Wema Umeniacha dillema Aaah,
Asali wa moyo wangu, Barafu wa moyo wangu,
Asali wa moyo wangu, Yeyee, Barafu wa moyo wangu
Mi nilimuita mpenzi Yeye aliniita mbuzi
Nikawa ku macho mchuzi Mawani yalokosa lenzi,
Pilau yake viungo, Aaah aah,
Bibiye usiniache, Aaah aah,
Pilau yake viumgo, Aaah aah,
Kishungi usiniache, Aaah aah,
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh.



Writer(s): Aslay Nassoro


Aslay feat. Q Chief - Anibembeleze
Album Anibembeleze
date de sortie
22-06-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.