BURUKLYN BOYZ feat. AJAY & Mr right - Dream Ya Kutoka Kwa Block paroles de chanson

paroles de chanson Dream Ya Kutoka Kwa Block - BURUKLYN BOYZ , AJAY

Tano Nane, uh joh
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na kirifle
Society inadhani tunafumble
Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
Wanatupenda ju tunaenda viral
Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital
Kwa ground mambo ni nare maboy wanafaa wareform
Lakini watareform aje
Na washajua ganji ilitoka na ndom
Niko safe niko seti hizi zone
Huwezi nishow venye we ni mrong
Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
Hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa
Mresh wako asichekе na mgoon
Huku East ama atamangwa
Pereka huko ukidhani atajali hautalambwa
Mkono zinateta bеfore atolewe chai ataganda
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy
Na ka unani-owe ma ganji man
Mi nadai kuwa na profit
That's why mi hukuwa kwa office
Men in black tu na rock ma koti
Let see mi hutrust manoti
Maisha yangu naachia Sir God
Flow ni ya kimaajabu na hii beat ni chopi
B Boys si huset matrends na si huset ma subject
Na nimekam nimerock my blue fam, chini ni red carpet
Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
Shash iko joh kwa chalice mi najikill close hio curtain
Na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern
Huku daily si hurun ma opps na unaeza dhani ni circus
Buruklyn Boyz tulileta frakass kama ni drill close hio chapter
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Writer(s): Jayson Okanda, Malvin Kamwaro, Kamwaro Irungu Nganga

BURUKLYN BOYZ feat. AJAY & Mr right - Dream Ya Kutoka Kwa Block
Album Dream Ya Kutoka Kwa Block
date de sortie
19-07-2021

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.