BURUKLYN BOYZ - Intro paroles de chanson

paroles de chanson Intro - BURUKLYN BOYZ



Yoh
Si unajua tukianza hii shit
Si wasee wengi walikuwa wanaaminia
Na, sai tuko mahali tunadai yaani
Na bado wasee wanahate
Yaani tunacheki kwa macho zao bro
Yoh, dream ni ya kutoka kwa block
East mpaka London kwani ni kesho?
Yoh, tano nane
Uh yoh
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
Nilitake time sai foundation iko strong
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
Ju ilitake time sai foundation iko strong
Ilibidi ni-go harder au ni-go home (ni-go home)
Daily najituma sasa mission ka niko song (ka niko song)
Mama ananineed back home
Utadhani niko Italy vile day inaroam
Kwa hizi streets wananauwo mi ni king kama Von
Kama nimetambua a come anitoe kwa hii throne (kwa hii throne)
Tulitake losses but still tulibond
Keziah alinipoteza shawty was bad to the bone (kapoa)
Makosa yangu uh, she was never wrong (haijaikua)
Ukinimiss uh, skiza my song (skia skia)
East mpaka London ndio journey jo ni long
Nimekuwa nikifuata my destiny since I was born
Makosa yangu uh, she was never wrong
Ukinimiss uh, skiza my song
East mpaka London ndio journey jo ni long
Nimekuwa nikifuata my destiny since I was born
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
Ilitake time sai foundation iko strong
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
IIinitake time sai foundation iko strong
Uh ati, nimekuwa kwa game approximately seven years
Nilikuwa naogopa kurap nitoe hio fear
Najirank kama mcee na matrack wanaziskia
Niko na worse background vitu jo zinanikatsia
Fanbase imeshika siwezi tembea CBD
Mafans wamemakinika wanajua hadi kupiga lean
Yaani my day ones, nikituma link wanashare link
Fam will be proud wakiniona kwa big screens
Huh, I'm the big bro take care of my lil siz
I got two bros wako on this rap thing
Not today or tommorrow but time yako itakam
So ni East mpaka London be aware tunakam
I'm the big bro take care of my lil siz
I got two bros wako on this rap thing
Not today or tommorrow but time yako itakam
So ni East mpaka London, be aware tunakam
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wanasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
Ilinitake time sai foundation iko strong
Nakumbuka wakitubondea kuperform
Sai crowd zote ngoma zetu wanasing along
Ilibidi nikuwe mstrong
Ilinitake time sai foundation iko strong



Writer(s): Jayson Okanda, Malvin Nganga


BURUKLYN BOYZ - East Mpaka London
Album East Mpaka London
date de sortie
20-05-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.