paroles de chanson Yes No - Baba Levo & Rayvanny
Wangapi
wanapenda
haya
mastory
Wangapi
wanataka
haya
mastory
(Yah!)
(Stukizzy
Baby)
(Titer
The
Best)
Mnataka
mastory
(Yes)
Tupige
mastory
(Yes)
Ya
ukweli
mastory
(Yes)
Ntayaleta
mastory
(Yes)
Ali
Kiba
kawa
Simba
(No)
Na
Shilole
ana
mimba
(No)
Tena
mimba
ya
Kadinda
(No)
Na
Kikwete
anaimba
(No)
Eti
Nay
ana
ghorofa
(No)
Navy
Kenzo
wana
ghorofa?
(Eeh)
Eti
Dully
kawa
lofa?
(Eeh!)
Nauliza
kawa
lofa?
(No)
Diamond
ana
kitambi
(No)
Malaika
ana
dhambi
(No)
Navy
Kenzo
anavuta
bangi
(No)
Mmh,
havuti
bangi
(Yes)
Yes,
Yes
Yes,
Yes
No,
No
No,
No
Yes,
Yes
Yes,
Yes
No,
No
No,
No
Magufuli
mnampenda
(Yes)
Na
Kikwete
mnampenda
(Yes)
Zitto
Kabwe
mnampenda
(Yes)
Mange
Kimambi
mnampenda
(Yes)
Peter
Msechu
mnampenda
(No)
Hamumpendi?
(Yes)
Ila
Shetta
mnampenda
(No)
Eh!,
hata
Kitale
(No)
Watoto
mnapenda
shule
(Yes)
Watoto
mnakwepa
shule
(Yes)
Shule
ya
msingi
mnasoma
bure
(Yes)
Kila
kitu
bure
(Yes)
Kuna
walimu
madarasani?
(No)
Mnasoma
nini?
(No)
Hata
hisabati
(No)
Ubuyu
na
visheti
(Yes)
Yes,
Yes,
Yes
No,
No,
No,
No,
No
Yes,
Yes,
Yes
Mi
napenda
mademu
wakali
Wenye
sura
na
shepu
hatari
Wenye
nyumba,
magari
makali
Wanalindwa
na
mbwa
wakali
Kwa
Sepetu
nimegonga
(No)
Kwa
Jokate
nimegonga
(No)
Giggy
Money
nimegonga
(No)
Na
kwa
Wolper
nimegonga
(No)
Ni
milango
jamani
(heh
heh
eh)
Kalapina
ni
mlevi
(No)
Mnamwogopa
ni
mlevi
(No)
Lina
ni
mlevi
(No)
Si
walevi
wa
muziki
(Yes)
Yes,
Yes,
Yes
No,
No,
No,
No,
No
Yes,
Yes,
Yes
Yes,
Yes,
Yes
No,
No,
No,
No,
No
(Laizer
on
the
mix)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.