paroles de chanson Nibembee - Barnaba
Nah
nah
nah
nah
aah
Kama
tatizo
pesa,
niko
radhi
kuiba(Aah)
Kwako
niseme
nini
nawe
wangu
swahiba(Aah)
Mtoto
mwendo
wa
jongoo
amejawa
ghaiba
Kutwa
juba
swala
tano,
akulinde
Kalima
aah
Nampa
chini
ya
tikiti
Nami
ndo
parachichi
Leo
umenasa
madichi
Penzi
twalichokocha
Masaji
ya
asali
mbichi
Maji
mixer
ya
hiliki
Michezo
samasoti
Dodo
nimeokota
Baby
wacha
nibembee
Kwa
penzi
lako
nibembee
Nimefika
kikomo
nibembee
Kwa
vyako
vinono,
nibembee
nibembee
Mmmh
maja
ya
mdalasini,
nibembee
Hebu
jipinde
kwa
chini,
nibembee
Kwako
nitake
nini
tena,
nibembee
Wacha,
nibembee
nibembee
Aii
mimi
Aii
mimi
Vocha
yako
thamani
Ya
kipato
changu
kidogo
Anivumiliaga
Kwa
vidogo
salary
Ye
mtunza
vya
ndani
Nje
kuvitoaga
mwiko
Penzi
sangara
shombo
Kubishana
ni
kawaida
Beiby
we
ndo
maji
kisima
Sharti
uiname(Teke
teke)
Nizame
kwako
mazima
Msumari
nishindilie(Teke
teke)
Kwako
nitake
nini
tena?
Unavyoikunja
nzima
nzima(Iweke
iweke)
Vizabizabina
Hadharani
washuhudie(Iweke
iweke)
Nampa
chini
ya
tikiti
Nami
ndo
parachichi
Leo
umenasa
madichi
Penzi
twalichokocha
Masaji
ya
asali
mbichi
Maji
mixer
ya
hiliki
Michezo
samasoti
Dodo
nimeokota
Baby
wacha
nibembee
Kwa
penzi
lako
nibembee
Nimefika
kikomo
nibembee
Kwa
vyako
vinono,
nibembee
nibembee
Mmmh
majagala
chini,
nibembee
Hebu
jipinde
kwa
chini,
nibembee
Kwako
nitake
nini
tena,
nibembee
Wacha,
nibembee
nibembee,
nibembee
Aii
mimi,
aha
Nah
nah
nah
nah,
nah
Mtoto
kapakwa
msiwasili,
nibembee
Danga
na
vuti,
nibembee
Oooh
niseme
nini,
nibembee
Nibembee,
nibembee,
nibembee
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.