Bee - Nimenasa paroles de chanson

paroles de chanson Nimenasa - Bee

Kwako nimenasaa nimenasanasa kwako nimenasaa baby gal
Kwangu umenasa umenasanasa kwangu umenasa baby gal
Ugomvi wake niweke nusunusu ndani nimwage kaniruhusu midomoni nimbusu
Mimaziwa yee ndo sumuu zidisha ujanja nipelimbwata gal wengine
Nsiwaonee nipenilambe nipenijing'ate gal utamu wako naujuwa mie mambo
Yangu huwaga mbayambaya napigaga kwarakwara on the
Bed she call me master master unakata uno sipata onaga
Kwako nimenasaa nimenasanasa kwako nimenasaa baby gal
Kwangu umenasa umenasanasa kwangu umenasa baby gal
Kwako nimenasaa nimenasanasa kwako nimenasaa baby gal
Kwangu umenasa umenasanasa kwangu umenasa baby gal
Kwako sitokula tena konakona baby kilakitu ntakuweka waazii kile
Kipimo ulicho niipa juzi niongezee mpenzii baby I love you shaidi
Mungu baba mwenyezi jidai ukiwa nami Baby hata kukuwacha siwazi mambo
Yangu huwaga mbayambaya napigaga kwarakwara on the
Bed she call me master master unakata uno sipata onaga
Kwako nimenasaa nimenasanasa kwako nimenasaa baby gal
Kwangu umenasa umenasanasa kwangu umenasa baby gal
Kwako nimenasaa nimenasanasa kwako nimenasaa baby gal
Kwangu umenasa umenasanasa kwangu umenasa baby gal

Bee - Nimenasa
Album Nimenasa
date de sortie
26-04-2019

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.