paroles de chanson Hayatabiriki - Belle 9 , Young Lunya
Tulichochelewa
kuolewa
Ndio
kitu
tunadiscuss
ghetto
na
wanangu
Ahadi
zisizo
tokea
Hazipunguzi
spidi
za
kuhandle
haya
mambo
yangu
Hata
waliopata
walisubiri
Ndoto
haziwezi
katwa
na
watabiri
Pasta
naye
anataka
nitoe
mbili
mbili
Mpaka
nikikufuata
tumia
akili
Zile
nenda
rudi
zinafanya
tuchoree
Tushajitolea
kujiahidi
we
ni
wee
Hatuna
maadili
ila
hatujakosa
akili
Sivyo
wanavyotufikiri
wanavyotuona
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Yeah
tabiri
vyote
ila
sio
haya
maisha
Hayatabiriki
Nilikuwa
na
ndoto
za
kuwa
rubani
nikaishia
kwenye
muziki
Alikuwa
na
ndoto
za
kuwa
maarufu
zikaishia
ni
kiki
Hana
chochote
mwana
haambiliki
Zamani
nilikuwa
sina
pa
kukaa
Sasa
hivi
napo
mtaani
ni
mapazia
tu
yanang'aa
Vumbi
ndio
nini
mafikia
yametapakaa
Nimehamia
mtaa
wa
saba
sio
kule
nilipokuwa
nakaa
Na
tunakula
bata
tukipata,
miluzi
tukikosa
Bia
hazioni
ndani
haya
maisha
ni
tungi
tosha
Unaweza
ukapata
muda
ambao
ukakosa
Na
ukijifanya
unapenda
vya
waza
tunakukosa
haya
maisha
Mbona
haya
maisha
yalivyo
kakara
Wasafishavyo
kwenye
down
fasta
fasta
Leo
unakosa
na
kesho
unapata
Usiamini
ndugu
tafuta
chako
jitetee
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Maisha
we
we
we
we,
over
light
Am
telling
you
things
can
change
In
your
life
Mbona
haya
maisha
yalivyo
kakara
Wasafishavyo
kwenye
down
fasta
fasta
Leo
unakosa
na
kesho
unapata
Usiamini
ndugu
tafuta
chako
jitetee
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Hayatabiriki
haya
maisha
wee,
hayatabiriki
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.