Bensoul - Lucy paroles de chanson

paroles de chanson Lucy - Bensoul



Mtoto, mtoto mdogo (Sol Generation)
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa (Original ting, ahh)
Hear dis!
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
Lucy, ah, hizo ni nini nasikia
Ati kuna maboy wanajaribu kukukatia
Na pia, kuna vile unawavutia
Ulikuja na mimi wanataka kunigeuzia
Lucy, ah, is there another man in your life?
Girl, come tell me stop wasting my time
Ukitaka penzi ni lazima udecide
Ukitaka kwangu ni lazima uwe mine
Lucy, ah, kalongo longo yako ya uongo
Unacheki wengi ama tukuite chongo
Msichana mrembo unanichanganya ubongo, wee (Shugaa)
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
Niko na mipango (Eeh)
Kama una zako wewe ziweke kando (Hmm)
Ju kila kitu nime order, double
Nikipewa yangu, unapewa yako (Ookay)
Wewe ndo mpango
Mashida zako zote weka kando (Eeh)
Usijali baby mimi nitakuhandle
Mimi kijana noma toka Eastlando (Ookay)
Usininyime samosa
Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer
Kwani kukupenda mi najua si makosa
Na nikikupenda mi najua sijakosa
Baby love, usininyime samosa
Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer
Kwani kukupenda mi najua si makosa
Na nikikupenda mi najua sija (Aha!)
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Tusilazimishe, tusilazimishe penzi
Lucy, I love you
Lakini kama tuko wengi
Don't force it, don't force it
Ati mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa, mangolopa
Mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa (Aha!)
Lucy, I love you
And I need your love
But don't force it
I love you...
Lakini kama tuko wengi (Ram-dadam-dam-dum)
(Eh-eh-eeh-eh-eh)
Lucy, I love you
Lakini kama tuko, aha
Don't force it, don't force it
(Eh-eh-eeh-eh-eh, burudika, burudika, naburudika kidogo)
(Eh-eh-eeh-eh-eh)
Ooh-ooh-ooh-ooh
Mtoto, mtoto mdogo
Mtoto, mtoto mdogo
Amevaa ngolopa, mangolopa
Amevaa ngolopa, mangolopa



Writer(s): bensoul, joe mutoriah, m.boks


Bensoul - Lucy
Album Lucy
date de sortie
12-03-2019

1 Lucy




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.