Bensoul - Niombee paroles de chanson

paroles de chanson Niombee - Bensoul



Ooh-ooh-ooh-ooh
Sol Generation
Mama, papa
Naomba baraka kwenyu niondoke mimi
Dada, brotherman
Hebu someni kwa bidii ndio mje mjini
Hapa, hapa nyumbani
Sisi sio matajiri ila tunayo akili
Chochote unachohitaji
Ukikifanyia kazi
Yeye atakibariki
Ila wewe usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
My now (Everyday, all day)
My future (Para-pam-pam-pam)
Yeye ndiye ajuaye (Uh-huh)
Yeye ndiye apangaye (Yes He knows, yeah)
Jana, leo, kesho (And every other day)
Yeye ndiye ajuaye (Yes He knows, yeah)
Yeye ndiye apangaye
Popote (Everywhere you wanna go)
Unapohitaji kuenda yeye atakufikisha
(Yes he will be there, he will be there)
Weka imani kwake
Shida zako zote
Hakuna linalomshinda
Ila wewe (Don't you worry)
Usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
Niombee, nikuombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
Nawe usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, niombee
Kwani maombi yangu pekee, hayawezi



Writer(s): Bensoul, Fancy Fingers, Joe Mutoriah


Bensoul - Niombee - Single
Album Niombee - Single
date de sortie
11-11-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.