Bensoul - Ntala Nawe - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Bensoul - Ntala Nawe




Ntala Nawe
Persevere with You
Eeh Mpenzi we usiwe na mashaka
Oh darling, have no doubts
Ingawa mashida kesho tutatoboa
Even when trials come, we'll overcome them together
Nikiwa kwa raha tufurahi pamoja
When I'm happy, let's rejoice together
Nami napo lia we wanipa faraja mama
And when I cry, you comfort me, my love
Ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye shida ama kwenye furaha
Through hardship or joy
Mi ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye jua ama kwenye mvua
Through sunshine or rain
Ona nyota zetu zinavyometameta
See how our stars twinkle
Na ukitabasamu unatabasamu sana
And when you smile, you glow so bright
Nikiwa kwa giza unakuwa mwangaza
When I'm in darkness, you become my light
Tuliyopitia umenivumilia
Through what we've been through, you've shown patience
Dada ntala nawe, ntala nawe
Baby, I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye shida ama kwenye furaha
Through hardship or joy
Mi ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye jua ama kwenye mvua
Through sunshine or rain
Mi ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye shida ama kwenye furaha
Through hardship or joy
Ooh mi ntala nawe, ntala nawe
Oh, I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye jua ama kwenye mvua
Through sunshine or rain
Ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Through hardship or joy, my dear
Mi ntala nawe, ntala nawe
I'll persevere with you, persevere with you
Kwenye jua ama kwenye mvua
Through sunshine or rain
(Kwenye jua ama kwenye mvua)
(Through sunshine or rain)





Writer(s): Bensoul


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.