Bensoul - Ntala Nawe paroles de chanson

paroles de chanson Ntala Nawe - Bensoul



Eeh Mpenzi we usiwe na mashaka
Ingawa mashida kesho tutatoboa
Nikiwa kwa raha tufurahi pamoja
Nami napo lia we wanipa faraja mama
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha
Mi ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Ona nyota zetu zinavyometameta
Na ukitabasamu unatabasamu sana
Nikiwa kwa giza unakuwa mwangaza
Tuliyopitia umenivumilia
Dada ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha
Mi ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Mi ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha
Ooh mi ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Mi ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
(Kwenye jua ama kwenye mvua)



Writer(s): Bensoul


Bensoul - Medicine - EP
Album Medicine - EP
date de sortie
07-05-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.