Bensoul - Salama paroles de chanson

paroles de chanson Salama - Bensoul



Jua la saa saba
Limewaka sana
Linavyonichoma
Ndivyo na kazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Kiza la saa moja
Limenipata kwa shamba
Ninaogopa polisi na wakora
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama



Writer(s): Bensoul


Bensoul - Qwarantunes
Album Qwarantunes
date de sortie
29-05-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.