Big yasa feat. DAVAJI - ulalaa paroles de chanson

paroles de chanson ulalaa - Big yasa , DAVAJI



Yoh 8Side Westside
Mad clan, mad clan
Yoh skia
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa
Tutapana joh Inshallah
Dad and mum we make for them dua
Lately sijapiga salaa
So naomba sir Jah msamaha
Ndio shule nilikuwaga learner
Lakini kwa streets nimejifunza sana
Sai nafast chase
Kutext I'll pick your call at 8 my beib
Love yangu kwako si forsake
Mi niko ready kufleek ma opp
Mi hukuambia nikienda madrop
A friend of a nop manze is a nop
Ushai shikwa kweli na cops
Ushaidandiwa ukienda madrop
Daily tu unarisk for sure
Ukijam tu ni ma maua
Itajajipa nitairarua
Sir Jah tu ye ndo anajua
Venye heart yako iko pure
Sheitan siwezi mtambua
Mentions mbili na anajua
Mabro wako hapa mi niko sure
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa
Nasaka doh ndo niwai ngata
Nipige biz nikienda far
Shit kwa street imekuwa too tough
But 255 tukistick na scars
Na prefer more nikihope for much
Na dig for golds nikisearch for rats
Big scene mi huwalk on my pack
Ka Nipsey hood alikuwaga star
Mbona nisiclose ma deal
Mbona nisitrace macash na meals
Ka ni kumake hii rowd kwa streets
Na streets hutake charge kwa hii shit
Mbona nisiroll na whip?
Mbona nisichange life ya homekid
Mindset yao ni hatuwezi waste
Si hu-go hard wanawatch tukiflip
Sweet one anadai kukam kwa section
Anadai kuhang na gang'
Si huconstruct na ma heavy metal
Hatuwezi lack kwa endz
Kwa ting analike it nikimmention
Napenda vile anabend
Base unajua tuna zero tension
Hizi sides hatunanga stress
Sweet one anadai kukam kwa section
Anadai kuhang na gang'
Si huconstruct na ma heavy metal
Hatuwezi lack kwa endz
Kwa ting analike it nikimmention
Napenda vile anabend
Base unajua tuna zero tension
Hizi sides hatunanga stress
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa
Mbona nisikule raha?
Kama float manze imejaa
But how do you sleep in a bar
Na watoi manze wako njaa
Mi hata sichezi far
Huyu ni bro na ametoka Dar
Unaskiaje ulalaa, lala lalalalaaa




Big yasa feat. DAVAJI - ulalaa
Album ulalaa
date de sortie
28-05-2021

1 ulalaa



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.