paroles de chanson Tatizo - Bill Nass
Aman
lymo
what
app
Sio
kwamba
mi
nina
wivu
hivyo
Ila
tatizo
kwamba
ulileta
maringo
Ukashindwa
geuza
shingo
Sababu
sikuwa
na
mingle
Ukanikana
mbele
ya
wana
ukaleta
mazingzong
Kule,
Kinondoni
Moscow,
life
changamoto
Ghetto
moja
local,
unadai
ilivyo
joto
Mapenzi
kweli
nyoso,
ukaniacha
kwenye
msoto,msoto
Ukataka
toka
na
vibopa
(Masonko)
Nikakosa
plan
B
mtoto
wa
ghetto
Ukanifanya
mpaka
nikaonekana
mental
Pindi
nadanda
danda
mambo
hayajasettle
Si
ulitaka
taka
mali
Na
me
enzi
hizo
sikuwa
na
hali
Ndo
sababu
haukuenda
mbali
Na
mi
rudi
na
hizo
mali
Si
ulitaka
taka
mali
Ukaniona
choka
mbaya
So
ukiniona
mimi
tena
Naomba
ukae
kae
mbali
Tatizo
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Na
reason
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Tatizo,
tatizo,
tatizo,
Tatizo,
tatizo,
tatizo
Labda
tatizo
Naskia
stori
kibao,
mama
walo
kibao
Na
wenye
hela
kibao
Sa
mbona
umeachana
nao,
hao
walionizidi
kete
Wamekuwacha
mpweke
tatizo
we
kicheche
Au
ladha
we
umesahau
Nilivovisha
kete
naskia
we
ulicatch
Unataka
tu
mabeste
haiwezekani
eeh
Hatuwezi
hata
kumeet,
unataka
kurevenge
Hapana
mama
siwezi
Najua
we
una
moyo
pia
we
una
nafsi
Ulinipenda
ila
ulishindwa
tu
kubaki
We
una
moyo
pia
we
na
nafsi
Mahitaji
yako
sikutimiza
kwa
wakati
Ulitaka
taka
mali
Na
me
enzi
hizo
sikuwa
na
hali
Ndo
sababu
haukuenda
mbali
Na
mi
rudi
na
hizo
mali
Ulitaka
taka
mali
Ukaniona
choka
mbaya
So
ukiniona
mimi
tena
Naomba
ukae
kae
mbali
Tatizo
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Na
reason
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Tatizo,
tatizo,
tatizo,
Tatizo,
tatizo,
tatizo
Labda
tatizo
Mpya...
mpya...
Ukurasa...
mpya
Tatizo
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Na
reason
ni
kwamba,
nimeanza
na
ukurasa
mpya
Tatizo,
tatizo,
tatizo,
Tatizo,
tatizo,
tatizo
Labda
tatizo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.