Billnass - Bugana (feat. Nandy) paroles de chanson

paroles de chanson Bugana (feat. Nandy) - Billnass



Aha, chupa ilionekana chai au sio
Chupa ilionekana chai
(Its S2kizzy beiby)
Billnas, Billnas
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Unyonge tai
Alafu mfukoni mambo mbaya
Hawatudai yeah yeah yeah
Hata wavujishe picha mbaya
Wakuite babu
Nami waniite bibi wetujukuu Ooh yeah washike adabu
Washindwe na walegee eeh
Unanisitiri
Yaani hutaki niumbuke(Aaaah)
Wawili tu chumbani
Ardhi ipasuke (Aaaah)
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina bugana
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Tupo low key na tuna kiss kwenye ndinga
Vile tuna ball sema 'ooh tunavimba'
Kuku approach ilikuwa hard ka nawinda
Hadi nikawa naimba zile ahadi
Ukawa unvimba
Leo bugana limerudi kwao
Tuko na shida zetu wala sio za kwao
Husband material a.k.a mopao
Imeshafika posa bado tu vikao
Na hata iweje, hata iweje
Mimi ni wako tu
Na hata iweje, hata iweje
Nitabaki kwako tu
Kama ni Gucci, Dolce & Gabana (Aaaah)
Hata mi, naweza kupambana (Aaaah)
Kama ni pesa wanasaka ile sana (Aaaah)
Sana mama, sana sana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yanga
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana (Laizer on the Mix)
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa



Writer(s): William Lyimo, Faustina Mfinanga


Billnass - Bugana
Album Bugana
date de sortie
01-09-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.