Breeder LW feat. Masauti - Nipe Love paroles de chanson

paroles de chanson Nipe Love - Masauti , Breeder LW

Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama
Kwangu uwe number moja amini utafurahiii
Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama

Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama

Vile we hunimaliza sijui ka una clue
Ever since last time me hukuwaza tu
Come thru my boo
Huna vibe ya udo
Una class haina wengi we hunibamba tuuu
Na
Ka uko single tunaeza mingle hadi ugiggle
You ready for some action ka movie ya Steven Seagul
Ju vile nakunauowo walai si ni illegal
You body jeje, uki smile pia ni dimple
Mmh
Kuna kitu naona kwako,special
With you naeza settle
Hao wengine bado level
I reckon,We hujicheki kwa kioo pia unatii
Kwani Jah jah akikuumba ilikua saa ngapi
We ni over 18 tusi udhii wazazii
Ju ikikuja misbehaving me nakuanga juu ya list
Kisses for breakfast,na touching ni tender
Ntafanya napepea ka aladin juu mkeka
So later we can link up
Unaeza vaa off shoulder
Na paka ilete shida basi bring it to owner
Ssshh ntaki light ndio usifike nikiwa sober
Ntageuka vegetarian vile jo ushatosha mboga
You know I keep it real ka unajua me ni nani
I'm into you for real, If I'm lying Im dying
Bazenga ushanibamba hadi nabonga kilami
Ukifika kwa mlango ring the bell niko ndani
Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama
Kwangu uwe number moja amini utafurahiii
Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama
Kwangu uwe number moja amini utafurahiii
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
No fliter,ukipita bado watavunja vichwa
Jaber dendi liet kama jua ya saa sita
Ka utakua wangu ndio ntajua nina kissmart
Na hizi ganji zangu we ukitaka utamaliza
Your wish is my command ka ukidai niache FIFA
PS5 ni nini me ntaitupa ndani ya pipa
I swear wifing you ndio motive ya hii ballad
Bounce hapo juu yangu na usipoteze balance
Romance kwangu ni me and you tukiwa wawili
Tukibadilishana dna bila any
Uko under arrest fadhela ashaku cuff
Tom ford on your neck unanukia na si bluff
TKlan president na deserve my first lady
Drip huwa sheria na sijai work navy
Nakucheki ukinicheki na hizo macho zako sexy
Sexiness galore teasing me and acting crazy
Lingerie kwa dim lights
Asha ubani me si mind
Sweet wine na cloud 9
Imagine ziki coincide
We ni sagittarius me ni cancer mamii
Alphabetically,unaeza weka D ndani kwa P
Uki ni C, utajua Y we were destined to be
Girl I love the way you put it on me
After foreplay kabla me ni proceed
Si ati nachocha utatekwa utatii
Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama
Kwangu uwe number moja amini utafurahiii
Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama
Kwangu uwe number moja amini utafurahiii
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama

Writer(s): Paul Otieno

Breeder LW feat. Masauti - Bazenga Mentality
Album Bazenga Mentality
date de sortie
18-06-2021

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.