Bright - Sina paroles de chanson

paroles de chanson Sina - Bright



Ukweli haupingiki
Ujanja mwingi mbele kiza yeeah
Mwenye nacho hupewa haki
Ila sipaswi kulipizaa yeah
Mwendapole haanguki
Hawezi kuumia akijikwaa yeeah
Hasira ujenga chuki
Mi mjinga sijakataa yeeah
Amini sikufichi
Mapenzi pori lenye miba yeeah
Maswali mengi ulikosa kipi
Kama mapenzi nilipitiliza yeeah
(Nalala mwenzangu unaamka
Nilizani majivu moto umeniunguza yee
Fukara thamani umenishusha
Umenipola magongo kiwete nimeanguka yee)
Sina wivu roho inauma eee
Upele upo mgongoni
Natamani kujikuna eeee
Ivi ni nini siri ya penzi
Kupetipeti au kuchuna eeeeh
Waweza penda kumbe upendwi
Haya mapenzi hayana huruma eeeh
Kilio cha mtu mzima jeraha
Maumivu ndani kwa ndani
Nikisema nijikaze bure
Nafuu haipatikati
Nilidhani chaguo kumbe sio
Umenifanya nidharirike
Tabia sio nguo
Umenifanya nigadhibike
Amini sikufichi mapenzi
Pori lenye miba eeeeh
Maswali mengi ulikosa kipi
Kama mapenzi nilipitiliza eeeeeh
(Nalala mwenzangu unamka
Nilidhani majivu moto umeniunguza eeeeh
Fukara thamani umeishusha
Umenipola magongo
Kiwete nimeanguka eeeh)
Sina wivu roho inauma eeeh
Upele uko mgongoni
Natamani kujikuna eeeh
Roho inauma...
Natamani kujikunaa eeeeeh...
Roho inaumaa...
Natamani kujikunaa eeeeeh.



Writer(s): Bright


Bright - Sina
Album Sina
date de sortie
02-10-2016

1 Sina




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.