Béla Fleck - Far Away paroles de chanson

paroles de chanson Far Away - Béla Fleck



INSTRUMENTAL
Watu Wanadhani mimi Napenda kuwa Mwenywe
Hata Kula sitamani, Ila Hawajui Sababu ni wewe
Wakikaa wanasema, kwamba wewe Umekwenda mbali
Tena Nashangaa wakisema, Huko Uliko wewe Hujali
Rudi Nyumbani, Me Nakutamani
You are my Number One ieh ieh
You are my one and Only
Girl Iam So Lonely
Njoo kwangu Shawty... ieh ieh
Rudi Nyumbani
Ah ah ah ah ah
2(Bella Kombo)
Kila Nikikumbuka Vituko Vyako
Nabaki Nalia
Au Rafiki zako wanavyoniponda
Nabaki Naumia
Wakikaa Wanasema kwamba wewe wala hujali
Tena wakikaa wanasema, Huenda kwangu kwako Afadhali
Rudi Nyumbani,
Me Nakutamani
You are my Number One ieh ieh
You are My One and Only
Iam so Lonely
Njoo kwangu Shawty ieh ieh
Rudi Nyumbani
Ah ah ah ah ah ahaa
Ni Mawazo Na Pombe
Ni Mawazo Na Pombe e ehh
Pressure Inapanda na Kushuka
Pressure Inapanda na kushuka
Ukichelewa Inapanda na kushuka
Preasure inapanda na kushuka
Ukichelewa inapanda na kushuka
Ahh
I Dedicate this Jam To the Lovers and Friends
Pappination



Writer(s): Bela Fleck, Michael Marshall


Béla Fleck - Double Time
Album Double Time
date de sortie
01-01-1997




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.