CHIDI BEENZ - Mmenisoma paroles de chanson

paroles de chanson Mmenisoma - CHIDI BEENZ



Yah
Yeah
Chid benz
La familia
Bongo records
Watanashati mwendo wa suruali na shati,
Moka chini full tai watu wamevunja kabati,
Happy day tunapunguza mawazo
Chanja mkwanja vuta vumba tuka sabenze milazo,
Leo n leo kesho haisemekani,
Vuta mvinyo poza koo ukamilishe burudani,
Usiulize wapi sangapi itakua safi
Bro vipi utatimba huku umekoga marashi,
Mabinti wanono waliojaa urembo usafi
Wanazingatia cheki smile na mienendo
Cheza kwa step kama uko dance floor kisha
Itika na mimi nkisema chid soo, chid soo...
Sio kiivo uchumi hauturuhus lakini sio vibaya tukijiachia hata nusu
Namaanisha tendo sio lazima ila basi japo akupige ata busu
Furahi furahia nyama choma na bia
Oh wanywao soda pata sambusa bagia
Wenye fegi mkononi isikuteleze na wenye dawa mfukoni nyonga tumeze.
" JIACHIE RUKA MAJOKA RUKA STYLE ZOTE UNAZO PENDA
UWANJA WAKO MUDA WAKO CHEZA VILE JINSI UNAVYOWEZA
ILA DUNIA CHAFU KUWA MWANGALIFU USIFUATE MGUU
UNAPOKWENDA RUKA JUI KWA AKILI NA DHAMIRA LASIVO WOTE TUTAENDA"
Siwezi kujibana nataka nile ujana kwa nia njema bila kufanya laana
Kinga madhubuti naepuka vishawishi
Najua nikiteleza naangukia mazishi
Nagonga ikulu najua nakata stimu
Ila me kama kepteni natoa nasaha kwa timu
Twazidi kufa twazidi pukutika
Basi tuone mbele na tupunguze pirika
Ruka utakavyo jiachie uwezavyo ila jali uhai mara nyingi uonavyo
Mkumbushe mwenzio kabla hujapatana nae
Kama somo halimuingii mpotezee achana nae
Tukumbushane kweny mziki kama hivi
Hata kwenye majarida michezo elimu Na TV.
Tujing'amue Na tupunguze tamaa
Muhimu kua Na mmoja upunguze kusambaa.
" JIACHIE RUKA MAJOKA RUKA STYLE ZOTE UNAZO PENDA
UWANJA WAKO MUDA WAKO CHEZA VILE JINSI UNAVYOWEZA
ILA DUNIA CHAFU KUWA MWANGALIFU USIFUATE MGUU
UNAPOKWENDA RUKA JUI KWA AKILI NA DHAMIRA LASIVO WOTE TUTAENDA"



Writer(s): Chidi Beenz


CHIDI BEENZ - Mmenisoma
Album Mmenisoma
date de sortie
19-08-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.