paroles de chanson Live It Up - Cannibal
Yeah,
ipo
shida
Sikia
wazimu
wa
kisanaa
Majid
fanya
magic,
na
na
now
Na
na
now
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Uchungu
ninaoskia
mi
na-cry,
oh
my!
Kwenye
microphone
nafoka
till
I
die,
why
lie?
My
destiny,
what
is
best
for
me
Prophecy
nishaikamata,
tell
me
what's
the
deal
Kwa
mashujaa,
Cannibal
ni
Emperor
Kwa
hilo
sanaa,
elimisha
vijana
Disciple
wa
Kamlesh
naufuata
msafara,
MCs
Nightmare
mi
ndio
horror
now
(Mastura
trabalula,
shenzi
type)
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Huu
upuzi
ndio
kazi,
najigamba
na
kipaji
Maskini
jeuri,
napiga
muhuri
wa
UK-
double
O
Flani
Mwanaharamu,
kesi
kalamu
Natema
mistari
kwa
mwendo
wa
kasi
Nasonga
ka
farasi,
MC
shupavu
Navunja
masenge
mbavu,
sitaki
upumbavu
Sura
mbaya,
kuja
paya
Vichwa
vigumu,
prophets
of
doom
Sura
mbov,
huyu
ni
[?],
msanii
Shika
karatasi
na
kalamu
Toka
jasho
la
damu
Unajipima
damu
kutoa
salamu
Tema
ma-bomb
ka
Sadaam,
yei
yeii
Mwaga
vina
MC,
yei
yeii
Sharama
Mupaye
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Shattah
Man
napigania,
mziki
ndio
maridhia
Anijalia,
Mola
nionyeshe
njia,
so
MCs
bandia
anzeni
kukimbia
Mapati
ushasalia
Panda
kama
unataka
kwenye
floor
Man
ndio
nivyo,
bli
bli
blo
Nakukata
bro!
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
Cannibal
ndio
mimi
kichwa
kibov'
Natema
juu
ya
microphone
sura
mbov'
Hiki
ni
kilio
juu
ya
instrumental
Kwenye
studio
kuna
ku-rise
na
ku-fall
1 Binadamu Gani
2 Kipe Yeeh
3 Live It Up
4 Mabalozi
5 Mambo Ni Sasa
6 Mume Mweza
7 Roho Impenda
8 Searching
9 Tension
10 Usicheke Maumbile
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.