Cannibal - Street Hustler paroles de chanson

paroles de chanson Street Hustler - Cannibal



1(Cannibal)
Mi nahema hema hema na life inavyosonga
Milima na mabonde panda shuka tuko bomba
Elim kiwazim kichwani zinatugonga
Niko kwenye rim
Hustler tafuta unga
Yes I,
Kwenye conman street tafuta maslahi
Before sija-die
Oh my
When will I have my own Hyundai
Mjukuu wa Maasai
Manyanya bie
Shenzi type...
Nabebana na ma-file
Ndani ni mistari ya mizani
Walai, kama mwanamziki ndani ya pwani sikatai
Kusakanya gizani hauwezani nao
Master ndio sisi Mombasani
Mintalia na nani
Mjukuu wa Maasai
Mintalia na nani
Mjukuu wa Maasai
(Cannibal)
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Vitu kuu msije kutusahau
2 (Sharama)
Maisha mtaa
Mtaa na jamaa
Maisha mbingu
Kila saa majashingo
Wenyeji vipaji wanalala na njaa
Fujo balaa
Kufika mwisho wa mwezi najikuna kichwa
Hakuna stima
Maji ya kupima
Tuna-hustle
24-7, 365
Jasho damdam kila saa
Mchoz kupata msos
Dhiki marafiki wanafiki
Polisi na sisi watamani kutumaliza kwa risasi
Wana kisasi, napiga dini
Dini katili
Familia ipate Mola
Tazama wakora wapora ili wapate pona
Wanakata kona
Nakupa elimu ya mtaa
Na hii mogoma
Wee utakoma
(Cannibal)
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Vitu kuu msije kutusahau
3 (Cannibal)
Nifanyeje
Sina hata bibi
Nisemeje
Ntaonekana chizi
Nifanyeje
Oh my, na na
Life yanitia zii
Nifanyeje
Sina hata bibi
Nisemeje
Ntaonekana chizi
Nifanyeje
Oh my, na na
Nina-struggle na life
Looking for kitu fine
Nipatacho tu ni rhymes
Nina-struggle na life
Looking for kitu fine
Hopin it could be mine
Huo ni za viraka kizee
Nifanyeje
Mboga ni za kwa zima kizee
Nisemeje
Malazi ni ya makanja mazee
Nifanyeje
Kesho pia itafika mazee
Nifanyeje mie
(Cannibal)
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Street hustler
You know I'm the gangster
Street hustler
Bado naleta disaster
Vitu kuu msije kutusahau




Cannibal - Street Hustler
Album Street Hustler
date de sortie
21-01-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.