paroles de chanson Burudani - Chege
(Take
5 now)
(Touch)
Vita
vya
mziki
ni
vikubwa
ila
ni
vyepesi
Endapo
tutaujenga
umoja
tutashinda
kesi
Snura
kutompenda
Ndela
sio
sawa,
sio
sawa
Na
Ndela
kutompenda
Snura
sio
sawa,
sio
sawa
Teteeni
brand
zenu
zisishuke
Ukiwa
juu
walo
chini
wakumbuke
Nyimbo
zenu
zisimame
kwenye
top
10
Yote
sawa
Natamani
Diamond
asishuke
Atetee
walo
chini
wasichoke
Natamani
Alikiba
azidi
ng'aa
Nyota
yake
isimame
kishujaa
Team
Kiba
wampost
Mondi
Team
Mondi
wamposti
Kiba
Konde
Gang
wampost
Mondi
Kiba
wampost
jeshi
(Sawa)
Tuchanganye
majina
(Sawa)
Wote
tukapate
kadinner
(Sawa)
Tushare
safina
(Sawa)
Mradi
tunapata
burudani
(Sawa)
Tuchanganye
majina
(Sawa)
Wote
tukapate
kadinner
(Sawa)
Tushare
safina
(Sawa)
Mradi
tunapata
burudani
Napiga
magoti
naomba
Kesho
asipotee
Temba
Yametimia
mengi
tulopanga
Na
bado
tunapambana
Itakuwa
sio
sawa
nikimuona
Dogo
Janja
ametoka
MMG
Sio
sawa
sio
poa
kwa
Madee
Mziki
wanabebaga
presenters
Utofauti
haina
haja
ya
kuleta
Haina
haja
ya
kuchaniana
mikeka
Mtafanya
wasanii
tutateseka
Natamani
vunja
bei
wasishuke
Ila
mwisho
wa
siku
Whozu
asidondoke
Natamani
Aslay
azidi
ng'aa
Nyota
yake
isimame
kishujaa
Shishi
gang
wampost
Snura
Team
Snura
wampost
Shishi
Manfongo
wampost
Sholo
Team
Sholo
wampost
Fongo
(Sawa)
Tuchanganye
majina
(Sawa)
Wote
tukapate
kadinner
(Sawa)
Tushare
safina
(Sawa)
Mradi
tunapata
burudani
(Sawa)
Tuchanganye
majina
(Sawa)
Wote
tukapate
kadinner
(Sawa)
Tushare
safina
(Sawa)
Mradi
tunapata
burudani
Oooh
(mchaka
mchaka)
Tuungane
pamoja
(mchaka
mchaka)
Mbwana
Samatta
(mchaka
mchaka)
Mwakinyo
(mchaka
mchaka)
Ooh
ma
Djs
(mchaka
mchaka)
Producers
(mchaka
mchaka)
Ooh
Bongo
tuwe
na
amani
tu
Hakuna
hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
hakuna
matata,
hakuna
matata
Hakuna
matata,
hakuna
matata
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.