Chin Bees - Gusa paroles de chanson

paroles de chanson Gusa - Chin Bees



Basi fanya kama unagusa ...
Basi fanya kama unagusa ...
(Basi fanya kama unagusa ...)
Unavyo whine my love you drive me crazy
Unavyo panda na kushuka girl you blow my mind eeh
Kona zote zimenibamba kwa manjegeka mpenzi
Usije ukaniyeyuka kisa money baby (Mercy na Liwashi mtanicheka)
Basi fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Ah tapaka chini girl, hakuna ubaya mammy waonyeshe umbo la kiroho mbaya
Unakata kata mpaka Bees na-retire
Miko ya kikonkodi mama uko fire
Na unavyo nyumbulika uko flex yeah yeah
Mpaka mtu mzima anasimama dede
Kwako mami ndo nishatuliza pepe
Kwako mami ndo nishatuliza
Basi fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Basi fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Girl unanipa vitu moto moto ambavyo sijawahi pewa before
Namu nilishadata kwako so mpenzi usinirushe roho
Baas fanya kama unagusa, kivyovyote ruksa
Baby bend down, na ufanye kama una susa Kwako nishapepeta mazima mami uya
Kwako nishapepeta mazima mami uyee
Basi fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Mami nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika
Basi fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Baby umenibamba
Girl unanipa vitu moto moto ambavyo sijawahi pewa before
Namu nishadata kwako so please usinirushe roho



Writer(s): Chin Bees


Chin Bees - Gusa
Album Gusa
date de sortie
23-05-2019

1 Gusa




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.