Christian Bella - Safari Sio Kifo paroles de chanson

paroles de chanson Safari Sio Kifo - Christian Bella




Aahh!!
Sikia safari sio kifo
Akudo impact
Nice b
Cheksa, est-ce qu'il ya de belles fille qui t'aimerde?
Toka ahondoke ameniachia story ya safari
Nikiwa na uzuni moyonii
Sina wasiwasi na imani atarudi
Safari sio kifo jacky pemba, bahati pemba tia y'olympic
Kachuka
Toka ahondoke ameniachia story ya safari
Nikiwa na uzuni moyoni
Sina wasiwasi na imani atarudi safari sio kifo
Ehh kulala si lali najaribu kulala usingizi sipati nahesabu tu mabati,
Nimekuwa nikiishi bila matumaini kama yatima ahh
Anaekua akifikiria wazazi wake (Baraka Kabuya full boss)
Mimi samaki makazi yangu baharini umenipeleka jangwani
Nitaishi kweli jacky pemba, ni kweli wewe umenitupa oh oh oh oh
Mimi samaki makazi yangu baharini umenipeleka jangwani nitaishi kweli
Kuweka mkono kwenye shavu kwangu ni
Kawaida fanya haraka urudi jacky pemba uwoohh
Kuweka mkono kwenye shavu kwangu ni
Kawaida jona bella un gros bizou yeehh
Machozi yameingiya moyoni nalia kwa uzuni kila nikilala
Nafumba macho masikio yako wazi nikisikia mimi na
Wewe mpaka kifo wewe ndie mama watoto wangu jacky pemba
(Respect na mambo ya masauti sikia impact)
Wameninyanganya wewe umekwenda kama
Upepo jacky pemba, unajua hamu yako haitasha
Hata watu wakisema mi sitawajali po vraiment namesana
Ndenge ozalaka pembeni na ngaiee oohh zagreb puta mulela
Nikuambie leo jacky
Nakupenda ukiwa unanicheka
Nachanganikiwa nikiwa sija kuona mba mba do tinada
Iyo stistie jogoo unanichanganya
Unanipagawisha,
Mapenzi yako yana ni fikia, kama mtakatifu unanipa furaha
Christian bella nde zagreb huta mutu
Sura ya mvutu nakupenda sana eh ehh jacky pemba
Safari sio kifo ila sina hali napokosa wee
Waaako rudi patrick chacha askofu
Ya kwanza jean pierre aka escro ndama
Ninaweza kufa kwa ajili yako christian bella,
Sijui natoka nami kwenye music kyabu l'or mama denis,
Mama tarsis sikia safari sio kifo un jour nakozonga
Na mboka ya ba koko congo rukia saluni
Claude de panama niki masuki
Alakat frubu baba oh baba oohh oohh
Jua kupata kwako ni nguvu za kazi zako mwenye sauda mon bebe aime
Ata niki kosa leo kesho nitapata
Kupata kwangu P.D.G (pedeje) Oscar mwanangema sitaki, julie weston
Lilian bebe rico roi kazila
Mungu mwenyewe ndie anajua rehema ya nzambe
Buffalo maziwa simamisha twende kazi
Andrew traders big supplier
Abdul karim jean pierre arga yesu mon patron
Nakupenda nakutaka wewe ndie baba watoto rudi
Wewe ndie ni kweli maisha yangu
Usinitupe baba watoto
Ali stari abdu lita abdu ziiihh muzamiri
Mungu kaumba dunia hii apocalypse bela aahhh niose
Mama ahh ohh mama yehh oh mama yeehh ohh mama eehh
Ohh non non jacky pemba, bahati pemba




Christian Bella - Safari Sio Kifo
Album Safari Sio Kifo
date de sortie
01-06-2007




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.
//}