Christian Bella - Ukimwona (Remix) - Valentine 2015 paroles de chanson

paroles de chanson Ukimwona (Remix) - Valentine 2015 - Christian Bella



Mungu aliimba dunia mapenzi tangu na tangu yashanipiga sasa sina budi
Nilewee siwezi kung'ang'ania huenda sio
Fungu langu japo ni shida ila nitabaki mwenyewee
Nasema mpe shukrani kwa kuniumiza sura yaa
Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
Naa asisikie asilan mwambie mapenzi
Mabayaa tanga liari kairuki singetibu tatizolangu
Kutwa nzima moyo unanidundadunda(dundaa)
Sina amani nasaga rumba(mamaa)
Ooh inanidundadunda(sema chineke nee moyoo)
Aah inanidundadunda (mami moyo)
Sina amani nasaga rumba(uko wapii)
Inanidundadundaa(eeh ukimwona yee)
MUSIC
WUKOMESA LA KOMONE NA NGAI YEE SHAKEZHO MATE MILISWA
FUKAKA NGAI LA BONDE LAKA YOYO IYE
JULY NIPE KOSA LA TATU NA NGAI YEYE
NAYOKA NENG'OYO KAKAA AAAA MAMAA
UKIMWONA(Uko wapii nakuitaji)
UKIMWONA(ah mamaaa mama mamaa)
UKIMWONA(rudi nyumbani nakuitajii)
UKIMWONA(aaah mamaa mama mamaa ma ye) ooh ye oh ye oh yea
Mh o yeaa
Music
Ah Nenda mwambie marafiki marafiki wabaya tena wengi waongo hawa
Wasimudanganyee oya mashoga marafikiii marafiki wabaya aa hoo mmmh
Tatizo mi bado nilipoteleza nkosa sipajui mpaka akafunga vilago na
Akaamua kuondoka sitambui mbaya kinachoniumiza maneno
Neno manenoooh mara kwa ndugu rafiki kwa nini yanawapa misemo
Naajaribu papasa
Ona ata macho ataona chochote ila ndo kutwa mikasa na nnazidi kuanguka
Niokote
Kutwa nzima moyo unanidundadunda(dundaa)
Sina amani nasaga rumba(mamaa)
Ooh inanidundadunda(sema chineke nee moyoo)
Aah inanidundadunda (mami moyo)
Sina amani nasaga rumba(uko wapii)
Inanidundadundaa(eeh ukimwona yee)
UKIMWONA(Uko wapii nakuitaji)
UKIMWONA(ah mamaaa mama mamaa)
UKIMWONA(rudi nyumbani nakuitajii)
UKIMWONA(aaah mamaa mama mamaa ma ye) ooh ye oh ye oh yea
Mh o yeaa
UKIMWONAA




Christian Bella - Ukimwona (Remix) (Valentine 2015)
Album Ukimwona (Remix) (Valentine 2015)
date de sortie
18-03-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.